Wali wa Manjano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wali wa Manjano

Discussion in 'JF Chef' started by snochet, Aug 9, 2012.

 1. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [h=3][/h]


  KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA NA RAHISI YA KUANDAA WALI HUU WA MANJANO NA KWA GHARAMA NAFUU SANA FAMILIA YAKO IFURAHIE


  MAHITAJI

  1 au 2 Saffron ( zafarani ya orange)


  4 kijiko kikubwa cha chakula Olive oil
  1 kitunguu kikubwa kata kata
  1 pili pli hoho katak kata vipande vidogo vidogo
  1 kijiko kidogo cha chai kitunguu swaumu cha kupondwa
  240 gram mchele wa basmati
  340 gram za maji ya vugu vugu
  5 gram ya chumvi
  majani kiasi ya giligilani kwa kupambia na kuongeza ladha

  JINSI YA KAUNDAA FATILAI PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI

  Muda wa maandalizi: dakika 15

  Muda wa mapishi: dakika 15
  Idadi ya walaji: watu 2


  [​IMG]


  Katika kikaango weka kitunguu maji na safron pamoja na mafuta katika moto mdogo kisha endelea kukaanga pole pole.

  [​IMG]


  Baada ya mafuta kubadilika rangi ya orange. Kisha toa katika moto na acha ipoe kwa dakika 10 kisha yachuje hayo mafuta.

  [​IMG]


  Kisha chukua kijiko kimoja kikubwa cha mafuta na weka katika kikaango. Kisha chukua tena kitunguu maji na kitunguu swaumu endelea kukaanga mapak vilainike. Kisha ongeza pili pli hoho na endelea kukaanga mpaka iwe laini.

  [​IMG]


  Kisha weka mchele na endelea kukaanga pole pole mpaka mchele utaponukia na kubadilika rangi na kulainika.

  [​IMG]


  KIsha ongeza maji na ufunike iendelee kuiva kwa dakika 8-10 kwa moto mdogo mpaka iive.

  [​IMG]


  Baada ya kuiva kataka majani ya corriender na pamba katika wali wako.

  [​IMG]


  Hakikisha unampatia chakula hiki mlaji kikiwa chamoto.
  [​IMG]


  Unaweza kuongeza ladha ya chakula hiki kwa kuweka karanga au zabibu kavu au hata korosho kavu​
   
 2. b

  bidada Senior Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante Mkuu
   
 3. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks
   
 4. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo poa!
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145


  ntamsaprise na hii mama watoto charminglady siku moja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ntafurahi sana huz, bt katumia termilogies sana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  nilitaka kupika wali wa nazi wa kawaida, nimehairisha, acha nikatengeneze hii makitu
   
Loading...