Jukwaa La Mapishi, Food Corner

LAT kawaida yangu hua sipimi ingredients, ngoja kesho ntapika nipime alafu ntakwandikia nikuambatanishie na picha kabisa.

great

awaiting for your delicious mushroom recipe and hope it to be branded "Lizzy mushroom stew" ha ha haa
 
Sijui kuna member Ana recipe ya samaki wa foil ? Please share au ni inbox asante
 
Nsiande unataka ladha iwe simple au spicey?
Na samaki unaotaka kuoka ni wakubwa au wadogo? Niambie ili maelezo yangu yaendane na mahitaji yako.

@LAT. . pole kwa kusubiri bana, recipe yako nimeshaiandaa sema nataka niweke nikiwa na pc ili niweze kuweka na picha vizuri. Jumatatu ndo ntaweka.
 
Lizzy, anxiously awaiting for that
 
nahitaji kujua namna ya ku extract cheese/butter from raw milk by a local procedure and using local equipments

mwenye experience anijuze

ahsante
 
Nsiande unataka ladha iwe simple au spicey?
Na samaki unaotaka kuoka ni wakubwa au wadogo? Niambie ili maelezo yangu yaendane na mahitaji yako.

@LAT. . pole kwa kusubiri bana, recipe yako nimeshaiandaa sema nataka niweke nikiwa na pc ili niweze kuweka na picha vizuri. Jumatatu ndo ntaweka.

Hi lizzy
Oh so sorry sikuiona hii post,

Ninaomba Recipe yenye spices lakini kwa foil, nimejaribu kutengeneza Mara 4 issue imebumaa jamani:
embarassed:

Yaani nitashukuru sana, ukinipatia kesho will do my fifth attempt
 
Mi napenda wali(biriliani)ila sijui kupika naomba mnielekeze tafadhari
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom