Jukwaa La Mapishi, Food Corner

habari wana jukwaa.
kwa kweli nimependa mno jukwaa hili.
je kuna mtu anafahamu mapishi ya urojo, kile chakula maarufu zanzibar?
Nasikia ni chakula kitamu sana.
 
Wana jamvi kila nikiamua kupika chapati zangu huwa ngumu kweli,kwa msaada wenu naomba TIPS za upishi wa chapati ambazo ni laini,please am begging you kwasababu ni chakula nachokipenda lakini nashindwa pika vizuri.
 
jaribu punguza mafuta
 
very useful thread. kwa kweli imenibadilishai mapishi jikoni kwangu. asanteni kwa michango yenu
 
Jamani naombeni msaada jinsi ya kuandaa futali nzuri msimu huu wa Ramadhani.. All Chefs mlionaujuzi huo Karibuni sana..
 
Jamani kama kuna mjuzi anajua kupika tambi zika haikatiki katiki na kuwa kama wali uliogandamana anipe maujuzi jinsi ya kuziandaa vyema

Nipo bachela mara nyingi weekend napenda kujipikia lakini nikifika kwenye tambi nakwama, anapika yanagandamana nakuwa kama ugali
 
Chemsha maji yawe ya moto kabisa. Yawe mengi tu, haijalishi.
tia chumvi kiasi na mafuta ya kupikia kwenye maji. Then weka tambi, acha zichemke. Zikiiva chuja maji yoote, then weka kwenye bakuli. Kwangulia cheese, ama weka butter kiasi na koroga. Kitu mwake mwake!

Kuna zile tambi nyembamba ziko kama mchele. Zile unakaanga na mafuta kiasi, zikiwa brown unaweka maji kidogo kama unapika wali. Usikoroge sana.

Ukinogewa unipe feedback : source- mzizimkavu
 
Nashuru,
Kesho jumapili nafanya hili zoezi, ntakuja na feedback
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom