Jukwaa la chit-chat linahusu nini?

Jukwaa la chit-chat linahusu nini?

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,755
Reaction score
7,270
Kuuliza sio ujinga, nina mrefu humu jf bt leo nimeona niulize! What is chit-chat forum all about?
 
General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!

sijui uliiona hiyo
 
linahusu maisha ya kila siku we sema chochote unachokiwaza ila sheria lazima ifuatwe usije kula burn
 
Chit chat ni kiwanda cha nepi na pampaz...je utapenda kuweka oda?
 
Chit chat ni kama horizon deep ndani ya Isidingo.. kuna matajiri na masikini.. wahuni na wastaarabu.. shugadadies na shugamamies.. Mazungumzo ya kila aina.. umbea umo.. ngumi za uso zimo vle..
Ntarudi..
 
Mkuu mngony hapa ni full kutongozana,wake wanatongoza waume na vice versa....ukigegeda/gegedwa inakuwa siri yenu hamji kusema hapa na yakiharibika unameza pin.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom