Jujikumbushe kauli zinazokanganya za viongozi wa chadema

bullet proof

Member
Sep 19, 2012
57
35
Leo naomba tujikumbushe baadhi ya kauli za viongozi wa CHADEMA ambazo ni ''contradictory'' na "controversial":

1. Katiba ya sasa sio ya wananchi kwa sababu wananchi hawakutoa maoni wakati wa kuandikwa..SLAA: Nikiwa rais NTAWAPATIA katiba mpya ndani ya SIKU 100. Je, siku 100 zingemtosha SLAA kukusanya maoni na kuandika katiba mpya?

Kama ahadi tu zinatia shaka, watawezaje kuweka ahadi zao kwenye matendo(utekelezaji)?
 
Kuwa na uwezo wa kuchanganua mambo na kuelewa ni kipi muhimu kukipost na kutaka wana JF washiriki na wewe katika kuchangia ni kipaji, kwa wewe kipaji hiki hauna na ndo maana Ubongo wako wote umeuhamishia kwa Dr. Slaa na kusahau kuwa CCM inaporomoka kwa kasi sana kuaminiwa na wananchi mimi nafikiri ungejikita zaidi kutafuta mambo ambayo ni muhimu katika kuirekebisha CCM isipoteze imani kwa wananchi.
 
umeamka saizi eeeh!
ALISEMA KUWA ATAANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYANDANI YA SIKU 100 ACHA UPOTOSHAJI NA UKILAZA WAKO HAPA!
 
Celina Lombani akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema serikali haina pesa ya kuandika katiba mpya na sio ajenda ya CCM na mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredercik Werema alisema Katib ya sasa inajitoshelkeza na kama mapungufu yanaweza fanyiwa mabadiliko (viraka)

Leo hii serikali inaandika bajeti kwa fedha zipi? kwa ajenda ya chama gani?
 
Kuwa na uwezo wa kuchanganua mambo na kuelewa ni kipi muhimu kukipost na kutaka wana JF washiriki na wewe katika kuchangia ni kipaji, kwa wewe kipaji hiki hauna na ndo maana Ubongo wako wote umeuhamishia kwa Dr. Slaa na kusahau kuwa CCM inaporomoka kwa kasi sana kuaminiwa na wananchi mimi nafikiri ungejikita zaidi kutafuta mambo ambayo ni muhimu katika kuirekebisha CCM isipoteze imani kwa wananchi.

Asipofanya hivyo hatakula. Ni lazima kabla hajaamka awe na cha kuongea kuhusu Slaa ili watoto kama anao au yeye mwenyewe aweze kwenda chooni baada ya buku 7. Too sad.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
na bado kuna kauli zingine hatari kuliko hizo mfano *chadema ni imara kuliko serikali ya CCM,kuliko usalama wa taifa na kuliko CCM yenyewe*Dr slaa
 
Ifike kipindi moja ya masharti ya kujiunga JF na upeo wa kufikiri iwe ni kigezo namba moja. Mods watoe quiz za kupima IQ za watu then wakipass ndio wapewe uanachama. pia ili access ya mtu iwe na privilege ya kuanzisha topic pia kuwe na mchujo strictly zaidi ya ule wa kupewa uanachama.
 
Jifunze kuandika kwanza, ndipo ujadiri mambo ya CHADEMA!!!

Tatizo umekariri "vungereza" vuwili kwenye kamusi sasa unajifunza kuvutungia sentensi ili usivusahau!!

Jf ni HOJA sio vungereza, kafie mbali na magamba yako!!!
 
"Wapigwe Tu, nasema wapigwe"

"Ukitaka Kula lazima uliwe kidogo"

"Liwalo na liwe"

"Mabinti wanapata mimba shuleni kwa sababu ya kimbelembele chao"

"Watanzania wale nyasi lakini ndege ya rais lazima inunuliwe"

"Mabilioni yangu kule visiwani Jersey Ni vijisenti Tu"

"Kama serikali ya CCM itaendelea kunyanyasa wananchi, nchi haitatawalika"

"Tanzania ni muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe"

"Umekwepo kihunzi cha kwanza lakini nitakunasa Tu na kukubambikizia kesi ninayotaka mimi"

"Mwandishi Mwangosi ameuliwa na kitu kizito kilichorushwa na wanachama wa CHADEMA"

"Chadema imeingiza magaidi kutoka Libya na Afghanistan kuja kuviruga uchaguzi wa Igunga"

Hizo ni baadhi Tu ya kauli Tata za CDM maana wao ndo wanaongoza nchi.
 
"kaskazini ijitenge"
Nchi haitatawalika
 
Kwanini wa TZ ni maskini ”hata mie sijui” rais jk

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

mhe rais umezunguka nchi nzima je umeona nini jibu la kikwete nimeona mvua Geita, swali watanzania kukumbuke kwalipi jibu la jk hehehe naaaana, nimetoa hapa mpaka pale...ikumbukwe maswali ya waandishi yalipelekwa ikulu siku mbili kabla...
 
Leo naomba tujikumbushe baadhi ya kauli za viongozi wa CHADEMA ambazo ni ''contradictory'' na "controversial":

1. Katiba ya sasa sio ya wananchi kwa sababu wananchi hawakutoa maoni wakati wa kuandikwa..SLAA: Nikiwa rais NTAWAPATIA katiba mpya ndani ya SIKU 100. Je, siku 100 zingemtosha SLAA kukusanya maoni na kuandika katiba mpya?

Kama ahadi tu zinatia shaka, watawezaje kuweka ahadi zao kwenye matendo(utekelezaji)?
Tuwekee Clip ambayo ulimsikia Dr wa ukweli akisema siyo longo longo unayotuwekea hapa kila mtu anaweza kuandika kitu kama hichi
 
Leo naomba tujikumbushe baadhi ya kauli za viongozi wa CHADEMA ambazo ni ''contradictory'' na "controversial":

1. Katiba ya sasa sio ya wananchi kwa sababu wananchi hawakutoa maoni wakati wa kuandikwa..SLAA: Nikiwa rais NTAWAPATIA katiba mpya ndani ya SIKU 100. Je, siku 100 zingemtosha SLAA kukusanya maoni na kuandika katiba mpya?

Kama ahadi tu zinatia shaka, watawezaje kuweka ahadi zao kwenye matendo(utekelezaji)?

Achana na wehu huu, Wenzetu taarifa inaandikwa ndani ya siku mbili hadi Tatu tu. Tanzania ripoti inaandikwa miezi na si mengine bali ni kutowajibika na kuvalidate posho tu.
Siku 100 nyingi sana kufanya mchakato huo. Kwani kukusanya maoni ni kama siku 30 tu zinatosha na kuandika / kuchambua maoni pia 30 tu kwa serikali inayowajibika.

Si tumezoeshwa sensa zetu ripoti hutoka wakati maandalizi ya sensa nyingine yamekamilika.
 
Celina Lombani akiwa Waziri wa Sheria na katiba alisema serikali haina pesa ya kuandika katiba mpya na sio ajenda ya CCM na mwanasheria mkuu wa serikali jaji Fredercik Werema alisema Katib ya sasa inajitoshelkeza na kama mapungufu yanaweza fanyiwa mabadiliko (viraka)

Leo hii serikali inaandika bajeti kwa fedha zipi? kwa ajenda ya chama gani?

hizi statement zingine mie hata sizielewi kabisa!!mkuu pitia vizuri comment kabla ya kupost.:glasses-nerdy:
 
Kuwa na uwezo wa kuchanganua mambo na kuelewa ni kipi muhimu kukipost na kutaka wana JF washiriki na wewe katika kuchangia ni kipaji, kwa wewe kipaji hiki hauna na ndo maana Ubongo wako wote umeuhamishia kwa Dr. Slaa na kusahau kuwa CCM inaporomoka kwa kasi sana kuaminiwa na wananchi mimi nafikiri ungejikita zaidi kutafuta mambo ambayo ni muhimu katika kuirekebisha CCM isipoteze imani kwa wananchi.

kwa hiyo kuhamishia akili kwa CCM kuporomoka ni kipaji?
 
Back
Top Bottom