Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 610
- 554
View: https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB
LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda.
Maadhimisho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari ya St. Marry, Mpanda mkoani Katavi.