Alipoamua kwenda gerezani Lema alisema: Leo nimeamua kwa hiari yangu kutangulia magereza. Watakaotubeza tuwasamehe kwa sababu wanahitaji ukombozi wa kifikra. Watakaotuunga mkono na kutuhurumia tuwafundishe ujasiri wa kutoogopa jela wala magereza katika mapambano ya kutafuta haki, uhuru na utu wa mwanadamu, alikaririwa Lema katika waraka alioutoa kwa wafuasi wakeAlikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa..matokeo yake kaumbuka!
sasa hivi kila mtu anamuona kama punguani flan hivi!
Unapaswa kuelewa kuwa Lema alikataa dhamana kwa kutafuta sifa. Hana uwezo wa kusimamia msimamo wake.
Alipoamua kwenda gerezani Lema alisema: Leo nimeamua kwa hiari yangu kutangulia magereza. Watakaotubeza tuwasamehe kwa sababu wanahitaji ukombozi wa kifikra. Watakaotuunga mkono na kutuhurumia tuwafundishe ujasiri wa kutoogopa jela wala magereza katika mapambano ya kutafuta haki, uhuru na utu wa mwanadamu, alikaririwa Lema katika waraka alioutoa kwa wafuasi wake
siku alipokwenda mahabusu.
Sasa wewe endelea kutumiwa hayo Masaburi yako na Mafisadi wa Magamba. Sisi tunasonga mbele kwenye Ukombozi. Freedom is coming tomorrow.
Kama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?
sijawahi kukuona hata siku moja ukiandika point,akili zako zimekaa kimasaburisaburi tuKama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?
Kama aliamua mwenyewe kwa hiari yake kwa nini nyie siku ile mlikwenda kulala viwanja vya unga limited, mkitataka Lema atoke?
Unapaswa kuelewa kuwa Lema alikataa dhamana kwa kutafuta sifa. Hana uwezo wa kusimamia msimamo wake.
Hapa nilipo niko mnara wa saa hapa Clock Tower naona kuna vijana wamepita wakiimba Peoples Power kuelekea mahakami! Nitawajuza.
Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wooote.
Lema kajidai mjanja kuwa anaweza kuingia na kutoka apendavyo, nasikia na kesho kama hajatimiza masharti ya dhamana ataendelea kusota ndani, akipenda asipende. Hapo ndipo tunapojuwa kuwa Serikali ipo.
Mimi nimeshaBook chumba pale Kisongo kuanzia kesho jumapili nitakua huko ili jumatatu niamkie gerezani kumsindikiza kamanda wa machalii kuja mahakamani! na ole wake huyo hakimu alete Magamba style! Bora atafute sehemu ya kwenda kuishi nje ya jiji la Arusha.
Unacheza na Jela muulizeni Ndanda Kosovo..
Mpaka sasa najiuliza Lema kwa nini alingangania kwenda Jela?
hao ndio vijana waliopewa kazi ya kustarehesha wabunge wa CDM, ameamua kwenda kumpunguzia maumivu boss wake.Sasa ukiisha msindikiza then what? kama ndoo kasha nyea na akifanya mchezo na mahama atarudi ndani na hata mkimuua hakimu bado atakaa ndani! CDM acheni u mbumbu wa kuabudu abudu watu! hali hii hamja chukua nchi mkichuku si itakua balaa!!