Achani maneno ya upotoshaji, hatutawaruhusu!Imekuaje tena akubali dhamana. Au aliwamis washkaji zake selo, amepata fursa ya kukutana nao.
bado naendelea kufatilia..kikao cha maafisa polisi...lakini katika maandamano hayo kama wanavyopenda tuyaite yameisha kwa amani kabisa..watu walikuwa wakiamba 'tumempata panya mwenzetu x100
Mkulu Rumanyika umenena kweli kabisa, hawa watu kazi yao ni kudirail mada na kuondoa stimu kwenye issues! Nimeamini wako kazini kwa malipo wala si vinginevyo!Duu! Wachangiaji wa humu wameingia mtego wa kujibiza na mambwiga badala ya kuelezea hali halisi ya mambo ilivyokua na ilivyo.
Watu mnawajua kazi yao nn humu ila bado mnaingia nao kwenye marumbano kana kwamba na nyie ni wageni humu. Wapuuzi wachache wapo humu kuin-attentive thread za cdm wapuuze.
We hujiulizi mtu toka saa kumi alfajir mpaka saa saba yumo na kila jukwaa anachangia ila kwa hoja nyepesi tu. Kuna thread za kiintelligent huwez kuwaona hao wapuuzi. Wao wapo kwenye thread za cdm na zinazohusu udini na ukabila/ukanda. Ndugu zangu jitahidini kuwaepuka wapuuzi hawa.
Nikirudi kwenye hoja big up lema karibu kwenye mapambano pia tunakutarajia uungane bungeni tayari kupambana na wezi wagonga meza magamba.
Haya ni maneno yanayotumiwa na wanawake waliosheheni uswahili, sasa mwenzetu kutumia maneno kama haya nashindwa kuelewa kama wewe ni salama au lawama.Ha! Ha! Ha! Mkuu maneno yako kuntu!
You are in a diffrent paradigm,maongezi yako hayaendani na wengi wetu humu kwasababu you are thinking and acting is different from many Tanzanians.
Kama JF ni nguo wewe ndi doa.
Yes kupewa dhamana ni haki ya kila mtanzania,lakini vipi kama kuwekwa selo kwenyewe hakukuwa kwa haki?
Ndo hapo utagunduwa tofauti zetu kwenye reasonig.
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Haya ni maneno yanayotumiwa na wanawake waliosheheni uswahili, sasa mwenzetu kutumia maneno kama haya nashindwa kuelewa kama wewe ni salama au lawama.
Haituhusu....Kawaambie mtaani kwenu ndio wanakuja,hii sio sehemu ya kukatana mikwara,eti wewe nani ataka kukujua??
Tatizo la wabongo ndio hili jamaa kawatishia kidogo tu wote mkarukia usalama wa taifa mara anatoka Ikulu. Inaweza kuwa yeye ni bondia au daktari wa muhimbili piaWell said. If everyone of us are exposed JF will cease to exist , if one thinks want publicity of who are they or where are they working from some of us have from hell!.
Basi mbona wanawachapa kama punda?Hata hao polisi ni rai wa nchi hii hawataweza kufanya ujuhaa wa namana hiYO. Hata wao wanaamini katika peoples power. Cheers MP LEMA!!!
Hao ni either machizi,magamba/out of touch, ama both.Tatizo la wabongo ndio hili jamaa kawatishia kidogo tu wote mkarukia usalama wa taifa mara anatoka Ikulu. Inaweza kuwa yeye ni bondia au daktari wa muhimbili pia
Tatizo la wabongo ndio hili jamaa kawatishia kidogo tu wote mkarukia usalama wa taifa mara anatoka Ikulu. Inaweza kuwa yeye ni bondia au daktari wa muhimbili pia