J'tatu hiyooo, Lema njeeee....

Ndivyo linavyosomeka bango mojawapo katika mapokezi ya Mbunge Lema mjini Arusha leo.
 
Kama anamsaada...mbona mmemtelekeza gerezani? mnajua yaliyompata huko? alikaa wiki moja tu akazidiwa ikabidi amuombe Mbowe amnusuru lakini kwa bahati mbaya akatoswa!

Mkuu Rejao!

Kwa nini Lema alikataa dhamana akangangania kwenda Jela? Halafu saizi anataka kutoka Jela?
 
Akamatwe tu...hana msaada wowote kwa watanzania!

Hivi Rejao na Crashwise ni mtu na mtani wake au mlishadhulumiana huko kabla? Mbona mwapingana sana kila wakati? Lema kuachiwa ni haki yake kikatiba, Lema kutembea ni haki yake kimaumbile. Mbona mwaka 1967 Mwl Nyerere alitembea toka Musoma hadi Mwanza hakukamatwa? Au Marehemu Seth Benjamin alitembea na vijana wenzake mwaka 1967 kuelekea Dar akafariki na kutangazwa shujaa!!!
 
Lema mjanja kweli kapewa dhamana kaamua kutembea kwa miguu kuanzia mahakamani hadi levolosi kilometa 4 huku akisindikizwa na vijana machalii wa ungalimited anataka akamatwe tena nalipongeza jeshi la polisi safahi hii wamemwacha afanya atakavyo.

Lema anapenda sifa kila siku anataka heading za magazeti zimwongelee yeye polisi wamestuka hawana habari na Lema akipendaa atembee mpaka KIA.

mlioko huko eneo la tukio, Lema ameshatoka???
 
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!

Ovyo! mtu anaeishi kwa kodi zetu ni rahisi kujitapa!!! uwe nyani inatusaidia nini sisi!
 
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Wacha kutisha watu hata kama ikiwa ya ikulu inasaididia nini sisi kujua. Au ndiyo PC ya Wassira?
 
watu wameshasambaa baada ya kuhutubiwa na mbunge...
 
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Kichwa maji kama wewe sihitaji hata kujuwa kama unampikia chai Nape Nnauye wala nini? Eti unanijuwa mimi ni nani! hizo ni style za kizamani za watu mazuzu kama wewe walizokuwa wanatumia kunywa gongo za bure mitaani. mimi unataka nikujuwe wewe hili iweje? u have touch wrong number young man. wewe bado unaishi dunia ya ujima ya mikwala mbuzi, kwani wewe hujui kwamba wanaofanya kazi ikulu wapo mpaka wakata nyasi? na hujui kwamba Usalama wa Taifa wapo ambao kazi yao ni kufunguwa mageti majumbani mwa viongozi?
 
Unajua mimi ni nani? au inabwabwaja tu...muombe Invisible akusomee IP address ya hii PC nayoitumia halafu ufanye uchunguzi ni ya wapi!
Head water wee!
Kwa kweli umeniudhi sana wewe Rejao, au ndiye nyie Usalama wa Taifa mnaokaa kutishia hata kwenye bar unanijua mimi ni nani, mimi ni usalama wa Taifa. Hebu ona kitambulisho changu hiki hapa, kina nembo ya ikulu. Ukichunguza ni kweli. Ni mjiinga sana wewe, pamoja na hayo madaraka uliyonayo.
 
wanahangaika kumkamata? si wampigie simu tu atarudi mwenyewe!!!
 
kwahiyo unataka kuniambia waaandamanaji wa mbeya ni PANYA? dah...amakweli akutukanaye hakuchagulii tusi
Wale walioitwa panya na Zuberi(kilaza) leo wameandamana kama kawaida pasipo kusumbuliwa na paka, political immaturity ni tatizo kubwa kwako mr.green guard.
 
Lema safari hii kachemka vibaya Polisi wamemwambia wewe tembea kutoka hapa mahakamani kama utapenda nenda mpaka Kia...

Katembea polisi wamemuachia tu wafuasi wake walivyoona hamna polisi kila mtu kakata kona...

Jamaa yangu yupo Arusha ndio kaniambia, kasema Lema hali yake sio nzuri anatoa machozi kila muda sijui kwa nini
 
kataka kujua mimi ni nani huyu hapa!

hii hapa chini yote inajidai kujibu! Mmekosa cha kufanya??? Mpaka mjibu post zangu? Sipendi mtu anayejipendekeza kwangu!
watu wameshasambaa baada ya kuhutubiwa na mbunge...

wacha kutisha watu hata kama ikiwa ya ikulu inasaididia nini sisi kujua. Au ndiyo pc ya wassira?

ovyo! Mtu anaeishi kwa kodi zetu ni rahisi kujitapa!!! Uwe nyani inatusaidia nini sisi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…