Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,288
nenda kazikwe naye unamahaba kwake.Cheti fake wewe,hata mawazo yako yanaendelea kuwa fake!
Mchango wako uko clear na machungu unayopitia!

Taja kero 5 alizotatuta kwa wananchi.."JPM"aliongea na Iwananchi papo kwa papo bila chenga!
SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita.
JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini?
JPM alitatua kero husika zilizokuwa zikiwakabili wananchi na kwa wakati husika
Pale tu taarifa hizo zilimpomfikia rasmi.
SSH yeye anawazuia,huku akiamuru wapambe wake kuwasikiliza.
Wakati wao ndio watuhumiwa wenyewe.
SSH anaogopa nini?
JPM alihangaikia na kuwawezesha wajasiriamali nchini
SSH anahangaikia riziki na fursa zaidi kwa walamba Asali zaidi.
JPM alihimiza kuhusu kujitegemea kama taifa,badala ya kulala tukitegemea na kuwaza mfuko wa Wahisani na Wafadhili.
SSH yeye anatembea kwa kasi Duniani,akijitahidi kuomba mikopo kadri awezavyo.Na yule anayemkosoa anaishia kuondolewa uheshimiwa na kuwa Muishiwa.
JPM hakupenda kusemewa,bali alipenda kujisemea yeye binafsi mbele ya wananchi.
SSH anatuma wasemaji waongo kama Mwigulu,Makamba,Nape na wengineo wengi waliomzunguka.
Na
Wanachokisema wao sio kile wananchi wanachotaka kukisikia,au walichokitarajia kukisikia toka kwa Serikali yao.
JPM alipinga wanyonge kuonewa na kupunjwa haki zao.
SSH yeye anawakamua wananchi kwa kosdi na Tozo lukuki.
JPM alikagua miradi yote mikubwa kimkakati,huku akitaka maelezo ya kina pale ilipoonekana kusuasua.
SSH yeye ameikabidhi miradi kwa michwa,huku yeye akizunguka kila uchao,matokeo yake ndio haya tumeongia gizani nchi nzima.
Matokeo yake ni bei za bidhaa kupaa bila udhibiti kutoka mamlaka husika.
Matokeo yake hadi Bundle za mitandao zinapanda kila uchao,utadhani nazo zinaagizwa Ukraine.
#Mtanikumbuka.
Alamsikhi.
Mbona zipo sumu nyingi tu, kunyweni mumfuate huyo dhalim wenu tunachoka kwa huu upuuzi wenu"JPM"aliongea na Iwananchi papo kwa papo bila chenga!

Kwa hiyo Makamba na hao praise RC's ndio huwa wasemaji wa SSH majukwaani ?Taja kero 5 alizotatuta kwa wananchi..
SSH anaongea kupitia watendaji wake kuna shida kwani?
Umewahi hudhuria mikutano ya Ziara za Rais ?
Rais akianza kujibu mambo ya vyoi hao wateule wanafanya Kazi gani?
Hadi sasa Rais katatua mamia ya kero kupitia watendaji ikiwemo kugawia watu mashamba,kuwafuta jasho waliofukuzwa Kazi na Mwendazake,kuwapa wakulima mbolea,mamiradi ya maji nk nk..
Kwa mfano wewe una kero gani? Rais Samia hana mda wa maigizo ya kula mahindi au kupewa zawadi za jogoo na wananchi wa Mchongo..
Tafuta wajinga ndio kawaambie hayo.
Aliwafariji wapumbavu wasiojitambuaMagufuli alijua kutufariji sisi maskini.
Wewe utakuwa mwenye Mimba aliyetimuliwa shule enzi za magu.Nenda kamfufue kule Chato.
Magufoool alikuwa mshamba na limbukeni wa madaraka.
Ndio walikuwa mabosi wake na ndio waliomfanya aape kwa katiba kusimamia haki zao.Rais aliyekuwa hajui kazi yake
Eti kutembea nchi nzima na msafara wa magari 290 na helkopta akisikiliza kesi za wamama kunyang'anywa mali na mashemeji zao ..
Hii nchi ina mifumo ya kutatua matatizo kama hayo, ilikuwa kuimarisha, ukiwa Rais ambaye hujitambui utaishia kufanya kazi za mwenyekiti wa kijijiNdio walikuwa mabosi wake na ndio waliomfanya aape kwa katiba kusimamia haki zao.
Mfumo ule ndio sahihi kwa hapa Tanzania.Hii nchi ina mifumo ya kutatua matatizo kama hayo, ilikuwa kuimarisha, ukiwa Rais ambaye hujitambui utaishia kufanya kazi za mwenyekiti wa kijiji
Em acheni uongo jamani.....Mbona hamsemi misafara ya magari 700 na wasanii juu kwenda kufungua madarasa mawiliRais aliyekuwa hajui kazi yake
Eti kutembea nchi nzima na msafara wa magari 290 na helkopta akisikiliza kesi za wamama kunyang'anywa mali na mashemeji zao ..
Ndio legacy ya mwendazake hiyo, Samia inabidi kuachana na mambo ya mwendozake fullEm acheni uongo jamani.....Mbona hamsemi misafara ya magari 700 na wasanii juu kwenda kufungua madarasa mawili
Ule sio mfumo, labda huelewi maana ya mfumoMfumo ule ndio sahihi kwa hapa Tanzania.
Mzilankende MnyagoNenda kamfufue kule Chato.
Magufoool alikuwa mshamba na limbukeni wa madaraka.
Yule Baba Alituweza Sana Ndugu ZanguNdio legacy ya mwendazake hiyo, Samia inabidi kuachana na mambo ya mwendozake full
Kila mtu ana style yake ya uongozi, unataka Mama Samia aige na mauwaji na kuleta wasiojurikana?"JPM"aliongea na Iwananchi papo kwa papo bila chenga!
SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita.
JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini?
JPM alitatua kero husika zilizokuwa zikiwakabili wananchi na kwa wakati husika
Pale tu taarifa hizo zilimpomfikia rasmi.
SSH yeye anawazuia,huku akiamuru wapambe wake kuwasikiliza.
Wakati wao ndio watuhumiwa wenyewe.
SSH anaogopa nini?
JPM alihangaikia na kuwawezesha wajasiriamali nchini
SSH anahangaikia riziki na fursa zaidi kwa walamba Asali zaidi.
JPM alihimiza kuhusu kujitegemea kama taifa,badala ya kulala tukitegemea na kuwaza mfuko wa Wahisani na Wafadhili.
SSH yeye anatembea kwa kasi Duniani,akijitahidi kuomba mikopo kadri awezavyo.Na yule anayemkosoa anaishia kuondolewa uheshimiwa na kuwa Muishiwa.
JPM hakupenda kusemewa,bali alipenda kujisemea yeye binafsi mbele ya wananchi.
SSH anatuma wasemaji waongo kama Mwigulu,Makamba,Nape na wengineo wengi waliomzunguka.
Na
Wanachokisema wao sio kile wananchi wanachotaka kukisikia,au walichokitarajia kukisikia toka kwa Serikali yao.
JPM alipinga wanyonge kuonewa na kupunjwa haki zao.
SSH yeye anawakamua wananchi kwa kosdi na Tozo lukuki.
JPM alikagua miradi yote mikubwa kimkakati,huku akitaka maelezo ya kina pale ilipoonekana kusuasua.
SSH yeye ameikabidhi miradi kwa michwa,huku yeye akizunguka kila uchao,matokeo yake ndio haya tumeongia gizani nchi nzima.
Matokeo yake ni bei za bidhaa kupaa bila udhibiti kutoka mamlaka husika.
Matokeo yake hadi Bundle za mitandao zinapanda kila uchao,utadhani nazo zinaagizwa Ukraine.
#Mtanikumbuka.
Alamsikhi.
umesahau case ya kijana wa MAKAMBAKO? ndiyo aliinua bango mbele ya magufuli magufuli akaamuru police wamshughulikie tu kwasababu ametoa maoni yasiyompendeza amgufuli? unajua kijana yule alifanywa nini na yupo wapi?"JPM"aliongea na Iwananchi papo kwa papo bila chenga!
SSH hataki Maswali wala Taarifa toka kwa Wananchi kule anakopita.
JPM Aliongea kero husika na kwa wakati husika,Je! Samia anaogopa nini?
JPM alitatua kero husika zilizokuwa zikiwakabili wananchi na kwa wakati husika
Pale tu taarifa hizo zilimpomfikia rasmi.
SSH yeye anawazuia,huku akiamuru wapambe wake kuwasikiliza.
Wakati wao ndio watuhumiwa wenyewe.
SSH anaogopa nini?
JPM alihangaikia na kuwawezesha wajasiriamali nchini
SSH anahangaikia riziki na fursa zaidi kwa walamba Asali zaidi.
JPM alihimiza kuhusu kujitegemea kama taifa,badala ya kulala tukitegemea na kuwaza mfuko wa Wahisani na Wafadhili.
SSH yeye anatembea kwa kasi Duniani,akijitahidi kuomba mikopo kadri awezavyo.Na yule anayemkosoa anaishia kuondolewa uheshimiwa na kuwa Muishiwa.
JPM hakupenda kusemewa,bali alipenda kujisemea yeye binafsi mbele ya wananchi.
SSH anatuma wasemaji waongo kama Mwigulu,Makamba,Nape na wengineo wengi waliomzunguka.
Na
Wanachokisema wao sio kile wananchi wanachotaka kukisikia,au walichokitarajia kukisikia toka kwa Serikali yao.
JPM alipinga wanyonge kuonewa na kupunjwa haki zao.
SSH yeye anawakamua wananchi kwa kosdi na Tozo lukuki.
JPM alikagua miradi yote mikubwa kimkakati,huku akitaka maelezo ya kina pale ilipoonekana kusuasua.
SSH yeye ameikabidhi miradi kwa michwa,huku yeye akizunguka kila uchao,matokeo yake ndio haya tumeongia gizani nchi nzima.
Matokeo yake ni bei za bidhaa kupaa bila udhibiti kutoka mamlaka husika.
Matokeo yake hadi Bundle za mitandao zinapanda kila uchao,utadhani nazo zinaagizwa Ukraine.
#Mtanikumbuka.
mpandisha uzi ni mjinga sana mwenye upeo mdogo kufikiri na kuelewa mambo? hujasoma comparison studies and anylysis?
Hakuna Chawa aliyewahi kufanikiwa kwa kumuabudu Marehemu ."JPM"aliongea na Wananchi Papo kwa Papo bila chenga!