Rais hapaswi kudeal na kesi za mtu mmoja mmoja ndio maana SSH akifika anamhoji mbunge au mkuu wa mkoa hawa ndio walioshika mahitaji ya sehemu zote.Shida za mmoja mmoja mwananchi inabidi asiwasilishe kwa viongozi wa ngazi ya chini.kama hajatimiliziwa mahitaji yake sasa hivi kuna media nyingi sana ni vyema kupeleka huko.
Mfano chukulia kwa yule mwanafunzi wa Chalinze alivyotumia media kuelezea shida zake na hatimae haki kupatikana.
Endapo rais atadeal na individual cases mwisho wake itapelekea kuamua hata kesi za kifamilia hiyo mtambebesha rais kazi kubw sana