Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,018
- 20,489
Acheni kuropoka vitu msivyovijua,Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Kama hatuna nyaraka za umiliki tusingeendelea kujadilina na malawi,
Kwa watz wasiojua ukweli wa umiliki wa Tanzia sehemu ya ziwa ni kuwa,
Mwaka jana pamoja na nyaraka tulizokuwa nazo kwenye hifadhi yetu, tz ilituma wataamu kwenda Breman Ujeruma kufuata baadhi ya nyaraka muhimu za mipaka kamili ya nchi yetu,
Hatu hii ilipelekea Tz kuchora ramani ya mipaka yake upya,
Hili limewafanya malawi waduwae, vuteni subira diplomasia za kimataifa zifanye kazi yake na ukweli na haki viwe huru,
Sister Banda atulize moyo tumuonyeshe uhalisi