Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Hati walipewa na Wakoloni(Waingereza) ambao pia walitupa na sisi hati ya kumiliki Nchi yote ya Tanganyika.
Waingereza walikuja na hilo ziwa?
Hati walipewa na Wakoloni(Waingereza) ambao pia walitupa na sisi hati ya kumiliki Nchi yote ya Tanganyika.
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Acha utoto wewe, jifunze kushirikisha Ubongo kabla haujaandika takataka zako hapa JF.Kwa wakati huu watanzania hatuhitaji distraction kama hii, tuwatandike hawa mpaka Lilongwe, na agenda yetu iwe "regime change" ili kuondoa mzizi wa fitina kabisa once and for all; No wonder huyu mwanamke ameidhinisha gay marriages nchini mwake ili apate upendeleo wa development aid!!
Kwani Waingereza walikuja na nchi ya Tanganyika?
Waingereza walikuja na hilo ziwa?
Kwani Waingereza walikuja na nchi ya Tanganyika?
Mkuu unamaanisha nani anazeeka?watu wakizeeka akili zao huzeeka.
kwa akili ya kawaida huwezi kuclaim ziwa lote ni lako wakati liko zaidi ya nchi 2
Mungu hakuwa mjinga alipoliweka ziwa hilo kati ya watu wa makabila tofauti.
ziwa ni letu sote na kila nchi inastahili umiliki wake kwa kiwango fulani
akileta za kuleta na kanchi kake kalivo kadogo tutakasambaratisha hata panya hawatabakia
Tumlitoa Idd Amini na jeshi lake kubwa sembuse huyu mama kikongwe?????
Mkuu nilitaka ujifunze kwanza 'Concept' ya Umiliki kabla hujauliza swali lako.Uungwana ni kujibu swali badala ya kuuliza lingine......nasema hivi hao waingereza walitengeneza hilo ziwa? Kabla hawajaja watu walikuwa wanaishi vipi?
Ama kweli wewe ndio BONGOLALA mwenyewe!Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Angekuwa lowasa ndo amir jeshi mkuu hili suala lingekuwa limeisha siku nyingi
Mkuu nilitaka ujifunze kwanza 'Concept' ya Umiliki kabla hujauliza swali lako.
*Kabla ya kuja wakoloni bara zima la Africa halikuwa na mipaka rasmi, ni wakoloni ndio waliorasmisha MIPAKA katika bara la Africa na walipeana HATI za umiliki wa maeneo yote ya Bara la Africa.
Mara walipoondoka Africa walirithisha HATI za umiliki wa maeneo hayo kwa watawala wapya wazawa wa Africa.
HATI hizi za umilikishwaji ni MIKATABA RASMI YA KIHISTORIA NA KISHERIA INAYOTAMBULIKA KIMATAIFA.
*Ziwa Nyasa lilimikishwa kwa nchi ya Malawi na wakoloni wa Kiingereza kama ilivyo Nchi ya Tanganyika ilivyomilikishwa kwa watawala wapya wa Tanganyika chini ya uongozi wa Nyerere na chama cha TANU.
Hutaki unaacha!!!!
Kwenu Kule Malawi unatoka Jimbo gani?!Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Na ile ya kushare water bodies unaiweka kando unaona Watz tutafaidi Kwa kuwa wewe mmalawiMkuu nilitaka ujifunze kwanza 'Concept' ya Umiliki kabla hujauliza swali lako.
*Kabla ya kuja wakoloni bara zima la Africa halikuwa na mipaka rasmi, ni wakoloni ndio waliorasmisha MIPAKA katika bara la Africa na walipeana HATI za umiliki wa maeneo yote ya Bara la Africa.
Mara walipoondoka Africa walirithisha HATI za umiliki wa maeneo hayo kwa watawala wapya wazawa wa Africa.
HATI hizi za umilikishwaji ni MIKATABA RASMI YA KIHISTORIA NA KISHERIA INAYOTAMBULIKA KIMATAIFA.
*Ziwa Nyasa lilimikishwa kwa nchi ya Malawi na wakoloni wa Kiingereza kama ilivyo Nchi ya Tanganyika ilivyomilikishwa kwa watawala wapya wa Tanganyika chini ya uongozi wa Nyerere na chama cha TANU.
Hutaki unaacha!!!!
Mikataba hii ilikuwa kati ya Wakoloni na wakoloni au Wakoloni na Watawala wazawa(Machifu).Sidhani kama ni suala la kutaka ama kutotaka...hiyo mikataba ya kihistoria na kisheria alisanini nani na nani?....anyway baki na unaloliamini
*Mimi ni Mtanzania(Mtanganyika!) kwa rangi!!, asili na UzalendoNa ile ya kushare water bodies unaiweka kando unaona Watz tutafaidi Kwa kuwa wewe mmalawi
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Akihojiwa na Al-jazeera leo kuhusu mpaka wa ziwa nyasa na Tanzania,amesema kwa umri wake wa miaka 63 hajui kama Tanzania ina umiliki kwenye ziwa Nyasa.
Hata hivyo amesema legal institutions zitawatendea haki.