Wanawake bwana! Christina nae haishi kubwatukiana na Cameron kuhusu visiwa vya Falkland. Ama kweli Joy msumbufu
kama josephine alivyo geuka kirus ndani ya chadema
Wanawake bwana! Christina nae haishi kubwatukiana na Cameron kuhusu visiwa vya Falkland. Ama kweli Joy msumbufu
Mbona watu wanato mapovu bureee, maji ya ziwa tunatumia bila kikwazo chochote, Mbasa wa ziwani twawavua twawala bila kikwazo chochote, dagaa nyasa ndo usiseme twaendelea kuwatafuna, yeye acha aendelee na ngonjera zake za ziwa langu ziwa langu, siku akizuia tusifaidi kilichomo ziwani ndiyo atakuwa kweli ameongea...mnatoka mapofu kwa umiliki wa ziwe kwenye TV ya Aljeezira,kweli mama Banda anatatizo lakini na wanaomshabikia wanatatizo kubwa zaidi. Kama kweli yeye ni president na atoe agizo la kupiga marufuku watz kufaidi rasilmali zilizomo ziwani ili athibitishe kama kweli ni lake
Hivi kwanini vijana wa bavicha hamna kabisa uzalendo?
Mnaleta ubishi wa kisiasa mpaka kwenye kulinda mipaka ya nchi!!!
Labda kama uliwakabidhi wewe, ila kwa vyovyote vile nusu ya ziwa ni letu, Malawi naiheshimu ila wakileta masihara mimi pamoja na watanzania wenzangu tutaishinikiza Serikali kuingia vitani, ukipenda jiunge upande wao ili tuwaue vizuri:A S shade:Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
BONGOLALA yaani waMalawi wamekabidhiwa na nani?Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Sio mwendawazimu nyie watz ndo wendawazimu..mnachukulia mambo mzaha mzaha sasa huyu oatawanyoosha
Wamalawi wana hati ya makabidhiano ya ziwa sisi bongolala tumelala hatuna hata document
Nita mtandika makofiii
Mbona watu wanato mapovu bureee, maji ya ziwa tunatumia bila kikwazo chochote, Mbasa wa ziwani twawavua twawala bila kikwazo chochote, dagaa nyasa ndo usiseme twaendelea kuwatafuna, yeye acha aendelee na ngonjera zake za ziwa langu ziwa langu, siku akizuia tusifaidi kilichomo ziwani ndiyo atakuwa kweli ameongea...mnatoka mapofu kwa umiliki wa ziwe kwenye TV ya Aljeezira,kweli mama Banda anatatizo lakini na wanaomshabikia wanatatizo kubwa zaidi. Kama kweli yeye ni president na atoe agizo la kupiga marufuku watz kufaidi rasilmali zilizomo ziwani ili athibitishe kama kweli ni lake
Nani aliyekuwa mmiliki wa awali aliyewakabidhi hizo docs za umiliki?? Piga huo kitu hicho hakiwezekani. Mipaka huwa anaijua anayeishi hapo sio mtu kutoka ulaya!!
Nine ngwitika nnkamu,..linga atwele amatingo tukunkoma fijo kangi,...ndemafu fijo hujo ndindwana
Mkuu acha kuropoka mambo usiyoyajua, jifunze kwanza ndio uandike.Acheni kuropoka vitu msivyovijua,
Kama hatuna nyaraka za umiliki tusingeendelea kujadilina na malawi,
Kwa watz wasiojua ukweli wa umiliki wa Tanzia sehemu ya ziwa ni kuwa,
Mwaka jana pamoja na nyaraka tulizokuwa nazo kwenye hifadhi yetu, tz ilituma wataamu kwenda Breman Ujeruma kufuata baadhi ya nyaraka muhimu za mipaka kamili ya nchi yetu,
Hatu hii ilipelekea Tz kuchora ramani ya mipaka yake upya,
Hili limewafanya malawi waduwae, vuteni subira diplomasia za kimataifa zifanye kazi yake na ukweli na haki viwe huru,
Sister Banda atulize moyo tumuonyeshe uhalisi
upuuzi uko wapi na ww mjinga!Acha kuongea upuuzi. Wamekabidhiwa na nani?
Hati walipewa na Wakoloni(Waingereza) ambao pia walitupa na sisi hati ya kumiliki Nchi yote ya Tanganyika.Hati walipewa na mungu au na nani?