Joyce Banda alonga Al-jazeera

Joyce Banda alonga Al-jazeera

Ufisadi wa chama cha magamba umewafanya wadanganyika wasiwe na uzalendo, na nakuhahakikishia kuwa huyu mama Banda ni very strategic kwani amegundua kuwa morale ya wadanaganyika iko chini kiasi kwamba hawana imani na baba mwanaAsha na serikali yake hivyo wakijaribu kuanzisha vita wajue kuwa huyo mama atawaadabisha na watajuta kuzaliwa kwani Vasco hana support kama aliyokuwa nayo Mwalimu wakati wa vita ya Kagera!! Itakuwa vita ya wakwereeeeeee.........peke yao!!

KM mwl angekuwepo na awe madarakani huyu mama angekuwa ameshapinduliwa na wananchi wa MALAWI wakishirikiana na USALAMA WA TAIFA-TANZANIA
 
Mkuu acha kuropoka mambo usiyoyajua, jifunze kwanza ndio uandike. *Mpaka sasa sijaona Fact yoyote tulionayo watanzania kuhusu umiliki wa ziwa Nyasa. Sio Membe wala Mkwele walioweza kuleta hadharani Facts za msingi. *Kifupi ni kwamba Legal documents zote muhimu Malawi wanazo toka miaka ya 1960s na zinawaFavour sana wao, wakati sisi Tanzania tunaporojo tupu. *Katika hili Watanzania tuanze kuhesabu maumivu makali mapema, tungoje tu kunyolewa kavu kavu na Malawi kupitia Mahakama ya Kimataifa.
..........kaka kazana kula samaki uongeze uwezo wako wa kufikiri.........
 
Mmmh..Kwa maelezo ya tanganyika tanu bora tuwachape tu hawa wamalawi.
 
acha utoto wewe, jifunze kushirikisha ubongo kabla haujaandika takataka zako hapa jf.

*kwa nini unafikiria mapambano(vita) na wala sio majadiliano(siasa), mahakama(sheria)?

*mzozo wa umiliki wa ziwa nyasa ni suala la nchi na nchi na sio la mama banda na kikwete.
Lilikuwepo tangu enzi za nyerere na kamuzu banda.

*acha kuchanganya mambo, suala la 'gay marriage' ni suala la kijamii tena ni mambo ya ndani ya nchi ya malawi wala hatuna haja ya kulihusisha na mzozo huu, kama ilivyo kwa tanzania kuwa na mambo yake ya ndani ya ajabu ajabu huenda kuliko nchi yoyote duniani.

kuwa mpole,hata watawala wanaoangalia mbali hawawezi kukubali jeshi kwenda vitani kupigana na malawi wanajua wanajeshi tz watashinda lkn watawala wanahofia wanaweza shindwa wazuia mukari ya wanajeshi hao wakati wanarejea kwani uwezekano wa kuja kufanya mapinduzi nchini ni mkubwa kwa hali ilivyo sasa(watu waliojeshini wanaweza thibitisha hili)
 
Mkuu acha kuropoka mambo usiyoyajua, jifunze kwanza ndio uandike.
*Mpaka sasa sijaona Fact yokyote tulionayo watanzania kuhusu umiliki wa ziwa Nyasa.
Sio Membe wala Mkwele walioweza kuleta hadharani Facts za msingi.

*Kifupi ni kwamba Legal documents zote muhimu Malawi wanazo toka miaka ya 1960s na zinawaFavour sana wao, wakati sisi Tanzania tunaporojo tupu.

*Katika hili Watanzania tuanze kuhesabu maumivu makali mapema, tungoje tu kunyolewa kavu kavu na Malawi kupitia Mahakama ya Kimataifa.

Acheni huo upuuzi hati aje kututawala mzungu ndio stugawie nchi zetu? Turudishe zamani hakuna Tanganyika, malawi wala nani tuone ziwa ni la nani? Huyu mama anataka balaa tu!
 
Nimefarijika sana baada ya kusoma post hii,maana karibia watu wote waliotoa maoni yao wanauchungu na huyu mama na upuuzi anaouongea,hii ni hasira ya wazungu baada ya Mh Rais kuwaeleza ukweli kuwa
"TUKIWA NA URAFIKIA NA NCHI NYINGINE HAKUNA KELELE,ILA TUKIWA NA URAFIKI NA UCHINA KELELE KIBAO" Sasa hizi mzionazo ni chokochoko tu za wazungu kumpa kiburi huyu mama ili hapo baadae tulazimishwe kumkataa mchina.
Tujiulize swali moja,tangu tumekuwa na urafiki na USA na UK nini wamekifanya ktk nchi zetu zaidi ya kutulazimisha kutupa vyandarua tena vyenye matundu ambayo hata nzi ana penya,kwa UK ndio kabisa,kulazimisha tuingize hatawaliofeli ktk mashule yetu eti kwa misaada yao isiyo na macho wala miguu na sasa wanataka tukubaliane na ushoga.
hongera Mh Rais ,hii vita ya mpaka tutaivuka na huyu mama atapatwa na aibu isiyoweza fichika
Hongera wana JF kwa kuweka utaifa mbele
 
Mkuu nilitaka ujifunze kwanza 'Concept' ya Umiliki kabla hujauliza swali lako.

*Kabla ya kuja wakoloni bara zima la Africa halikuwa na mipaka rasmi, ni wakoloni ndio waliorasmisha MIPAKA katika bara la Africa na walipeana HATI za umiliki wa maeneo yote ya Bara la Africa.
Mara walipoondoka Africa walirithisha HATI za umiliki wa maeneo hayo kwa watawala wapya wazawa wa Africa.
HATI hizi za umilikishwaji ni MIKATABA RASMI YA KIHISTORIA NA KISHERIA INAYOTAMBULIKA KIMATAIFA.


*Ziwa Nyasa lilimikishwa kwa nchi ya Malawi na wakoloni wa Kiingereza kama ilivyo Nchi ya Tanganyika ilivyomilikishwa kwa watawala wapya wa Tanganyika chini ya uongozi wa Nyerere na chama cha TANU.

Hutaki unaacha!!!!
Kasome case ya Lake Chad halafu ndiyo uje ulete makalio yako humu.
 
Mkuu unamaanisha nani anazeeka?

Ziwa limepakana na nchi tatu, Malawi wanasema ziwa lote ni la kwao kwa sababu mikataba tuliyorithi kwa wakoloni INATAMKA HIVYO.

Tanzania tunasema tunatakiwa tupate NUSU YA ZIWA LOTE(50%) kwa sababu tu tunapakana nalo!!
Swali la kimahesabu kwa Tanzania, inakuwaje Ziwa linalopakana na nchi tatu mnaweza kugawana wote watatu Fifty Fifty?

Haya maelezo yako yana mushkeli...
 
Huyu mama Joyce Hilda Banda n`ee Mtila leo anaadhimisha mwaka mmoja kamili toka awe Rais wa Malawi (7.4.2012-7.4.2013).Mama wa watoto 5; 3 kwa ndoa yake ya awali(na Roy Kuchale) na 2 kwa Richard Banda. Ni mwumini mzuri wa TB Joshua(Synagogue Church Of All Nations),baada kumfanyia maombi mume wake wa sasa,Robert Banda akapona kiharusi. Nabii Joshua ndiye aliyemtabiria kuwa atakuwa Rais wa Malawi,pia alitabiri pia kifo cha Bingu wa Mutharika miezi 2 kabla ya kifo(alikufa kwa shambulio la moyo).Vyanzo mbali mbali vya habari vinasema bado anategemea utabiri wa huyo Nabii kwa ktk uongozi wake. Je,ndiye anayemshauri kuhusu mpaka wa ziwa Nyasa?
BTW, huyu TB joshua inasemekana alimtabiria EL kuwa piga ua atakuwa Rais ajaye wa Tz
 
Back
Top Bottom