mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,258
- 9,728
Angetembea na kiyoyoz mgongonMbona matusi, hata wangekwambia kuna joto laja, ungechukua hatua gani kulizuia??

La uchaguzSerikali ipunguze joto
kweli kbs ccm imelifumbia macho hili swala cjui kwann wakati walituahid kupunguza joto ndan ya jiji letuBonjour
Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali
Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari
Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu
Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,
We kiumbe ulipotelea wap??Unazagamulia ndani?
Kana kwamba hujui, Dar kuna fukwe nyingi sana
Kasema yuko uchi na mcheps hapo ukute ni linene kilo 120Vua nguo mkuu
Umasikini mbaya!Bonjour
Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali
Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari
Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu
Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,
Niko humu humu jotoni!!We kiumbe ulipotelea wap??
Sasa mkuu Kama unalalamika joto la Dar VP Znz ??? Utaishi wewe mbona kama Zanzibar joto Kali kuliko DarBonjour
Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali
Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari
Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu
Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,
Sina undugu nae , huyo boya
Hahaha upo wapi mzeeNauza kitanda na godoro la barafu mkuu bei poa kabisa.
Nipo geto mkuu.. Yani kila bao moja, tunaenda kuoga. Lakini fukuto BadoUnazagamulia ndani?
Kana kwamba hujui, Dar kuna fukwe nyingi sana
Kama Kuna vumbi sitakiNjoo mbeya ni burudani tu baridi kwa mbali, vumbi hakuna kijani imekolea kama tupo ulaya vile
Unajua maana ya kiraka?Wanawake wanapitia changamoto kweli, hapo demu anajua anajamiiana na mtu mwenye akili timamu kumbe zero brain