Joto kali sana mjini

Joto kali sana mjini

Ukiwa huna hela joto ni kali mnooooo..... ila ukiwa nazo you won't feel it cuz AC na joto don't get along. Ukitaka kuamini nenda hata hapo nini nini tower au China Plaza uende hata floor ya pili unaweza ukaomba sweater aisee.............
 
Joto adui yk AC mkuu. Kweli tutafute ela au turudi mikoani kwetu kwenye baridi.
 
Kwa hili joto, January bili ya maji na umeme itakuwa juu..
Ukitembea na nguo nyeusi mchana utasikia moto kama unapigwa pasi mwilini..kazi kwenu wauza maji, mshindwe nyie tu
 
Bonjour

Hili joto la dar es salaam, aisee sio poa, jua Kali joto kali

Muda wote una sweat jasho, maji unakunywa kila muda kama chura, Yani hogopaaaa ni hatari

Nipo na shem wenu hapa, tunazagamuana, Aisee tumeloa jasho chapa chapa kama tumepigwa na mvua za bondeni, Yani feni speed ya mwisho lakini wapi, mashuka yameloa mpka kichefu chefu

Tunaiomba serikali ya ccm iweze kupunguza hili jua na joto Kwa hapa dar ,

Tuna walaumu wapinzani na wale wasio na mapenzi mema na Mama kwa kutuletea Joto kali...
Na tunaiomba Serikali yetu Sikivu ikiongozwa na mam itupunguzie Joto mjini..
 
Back
Top Bottom