Joti na Mpoki wapo rumande kwa msala gani?

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Nimetonywa kuwa wachekeshaji maarufu Bongo; Joti na Mpoki, wanashikiliwa na kituo kimoja cha polisi jijini Dar na kulazwa rumande kwa takribani saa 24 sasa.

Bado haipo wazi wana kesi gani. Nachelea kusema itakuwa inatokana na kazi zao.

Kama kuna mwenye taarifa zaidi aitoe ili tuujuze umma. Polisi sio kuzuri kule.
 
# zinasomeshwa kote kote!
Any way labda wanamiliki channel YouTube Bila kusajiliwa tcra?

Ova
hii nchi bana, channel wenyewe ni wamarekani na imefunguliwa na wamarekani, huku kwetu kujiunga na hiyo channel mpaka upate uulipie, daah yani ishageuzwa ni njia mojawapo ya kuongeza pato la nchi utadhani hao tcra ndio walioumiza kichwa kutengeneza huo mtandao,
 
Back
Top Bottom