TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,768
- 20,875
Kosa naona wengi wanasema ni online TVs maana zimeshalaza wengi ndani.
We are almost in agreement na hilo.
Hapana, kosa lao kubwa wanaloshitakiwa nalo ni kugonganisha mihimili😀
Kosa naona wengi wanasema ni online TVs maana zimeshalaza wengi ndani.
We are almost in agreement na hilo.
***** Walah! Imekula Upande Wao!Malipo ni hapa hapa duniani, hao walitumika kuwarubuni watanzania wamchague jiwe.