Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,079
- 23,472
Omba Mungu asikuue ufike mwakani salama kwenye uchaguzi.Hawakumjua, kama wengi wa waliomchagua, kosa itakuwa ni kurudia tena 2020.
Utaona atavyoshinda kwa kishindo bila hata ghilba!
Omba Mungu asikuue ufike mwakani salama kwenye uchaguzi.Hawakumjua, kama wengi wa waliomchagua, kosa itakuwa ni kurudia tena 2020.
Umesikiliza Report ya leo ubaoni?Jana Mpoki alikuwa kwenye kipindi cha Ubaoni, saa 10 - 1 jioni, EFM Radio.
Masaa 24 hayajafika, labda kama alidakwa baada ya hapo na masaa 16 tu ndiyo yamepita.
Umesikiliza Report ya leo ubaoni?
Haijaisha itaendelea kesho nahisi ukiisikiliza utaendanayo sawa tuHapana, niliishia vile kutomsikia Mpoki tu nikazima.
Nipe summary kidogo.
Haijaisha itaendelea kesho nahisi ukiisikiliza utaendanayo sawa tu
Hahah!Ntajitahidi kuisikia. Naweka reminder kabisa, maana kusahau ni fasta.
Hahah!
Kipi cha michezo ni bora kwako hapa Bongo?Vipindi ambavyo nakuwa sihitaji kukumbushwa ni vya michezo.
Kipi cha michezo ni bora kwako hapa Bongo?
Sports Extra bila habari za kimataifa hawana jingine zaidi ya porojo za Ndondo CupSports Extra ya Clouds (hapa nasikilizaga international news).
Magic nikipata muda huwa nasikiliza kipindi chote.
EFM Sports HQ wana segment ya Hisabati, sema muda unabanaga sana.
Jamani tunafuatilia ya Joti na Mpoki tunaomba mrejesho.Sports Extra bila habari za kimataifa hawana jingine zaidi ya porojo za Ndondo Cup
Hao Magic wapo vizuri sana jamaa wanachambua fresh sana, kuna wengine wapo EA Redio pia wanajua mno sema muda wa kipindi chao ndio sawa na huo wa Magic
Sports Extra bila habari za kimataifa hawana jingine zaidi ya porojo za Ndondo Cup
Hao Magic wapo vizuri sana jamaa wanachambua fresh sana, kuna wengine wapo EA Redio pia wanajua mno sema muda wa kipindi chao ndio sawa na huo wa Magic
Jamani tunafuatilia ya Joti na Mpoki tunaomba mrejesho.
Hivyo mpo kituoni au? Kosa lao ni lipi kwanza. Wewe usizuge mbeba box mwenzangu.Ukiona hivi ujue bado tunaendelea kuhangaika jinsi ya kuwatoa. Tutakujulisheni.
Asante.
Hivyo mpo kituoni au? Kosa lao ni lipi kwanza. Wewe usizuge mbeba box mwenzangu.
Kwani mpaka uombe kibali? Mbona watu wanapost Utube na wanapata pesa kibao? Well mimi siyo mwanasheria ila naona watu wanapost kuku wanapigana na hakuna cha ziada.Kosa naona wengi wanasema ni online TVs maana zimeshalaza wengi ndani.
We are almost in agreement na hilo.
Kwani mpaka uombe kibali? Mbona watu wanapost Utube na wanapata pesa kibao? Well mimi siyo mwanasheria ila naona watu wanapost kuku wanapigana na hakuna cha ziada.
Suppose na shoot nikiwa nje ya nchi hapo napo inakuwaje? Ina maana hawa waimbaji wa dini nao wanalipa kwa kila toleo? Mfano yule aliyepiga picha twiga ameuawa, akipost atashitakiwa?Ilipitishwa mwaka jana, unalipia around 1m kupata license, na iko subject kukubaliwa au kukataliwa.
Sikumbuki license inakuwa ya muda gani lakini ni either annual au 3 years.
Suppose na shoot nikiwa nje ya nchi hapo napo inakuwaje? Ina maana hawa waimbaji wa dini nao wanalipa kwa kila toleo? Mfano yule aliyepiga picha twiga ameuawa, akipost atashitakiwa?