limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Nimejikuta nacheka [emoji16] et telezaLabda ndyo TELEZA
Nimejikuta nacheka [emoji16] et telezaLabda ndyo TELEZA
Wamemkashifu Gwajima, hujui!?
Gwajiboy, kila saa Gwajiboy...
Itakuwa kweli ni baada ya hapo mkuu. Asante kwa kusaidia sehemu ya taarifa.
Sikilizia mkuu utupe mrejesho!
Zaidi ya Masaa 24 ya Mpoki yamefika saa ngapi wakati jana nilikuwa namsikia jioni na Dokii wakipiga salama kwa PAPAAAA!Nimetonywa kuwa wachekeshaji maarufu Bongo; Joti na Mpoki, wanashikiliwa na kituo kimoja cha polisi jijini Dar na kulazwa rumande kwa zaidi ya saa 24 sasa.
Bado haipo wazi wana kesi gani. Nachelea kusema itakuwa inatokana na kazi zao.
Kama kuna mwenye taarifa zaidi aitoe ili tuujuze umma. Polisi sio kuzuri kule.
huwa wanafanyaga makusudi sio, kwani hawakuona wenzao kiliwapata nn.Mambo ya youtube tv hyo
Acha ujinga basiMalipo ni hapa hapa duniani, hao walitumika kuwarubuni watanzania wamchague jiwe.
Asante kwa mrejesho mkuu.Hayupo kwenye kipindi.
Might be true.
Hawakumjua, kama wengi wa waliomchagua, kosa itakuwa ni kurudia tena 2020.Malipo ni hapa hapa duniani, hao walitumika kuwarubuni watanzania wamchague jiwe.