Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

huenda anatamani angekuwa wakike tumfumue marinda au pengine ana homoni za ke
 
Uuuuuuuuu ngoja niendelee kupata huu mchanganyiko wa Mohans na jagi
1477068402749.jpg
 
Huyu anatakiwa apewe onyo na BASATA, lazima ahojiwe anafanya hivyo kwa mantiki gani?
Wasimuonee Nay Wa Mitego pekee
 
Mi hapa naogopa sana ile theory ya Darwin ya adaptation. Isije ukafuata wimbo wa Muumin "KUMBE tikiti maji nalo chakula"
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kati sasa jinsi palivyotuna au ndo cameltoe
 
Back
Top Bottom