Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Huyu Jamaa atakuwa na hisia za kike kiasi maana tokea alipoanza kuigiza mdada basi ndio kakolea sana... nilisikia kuwa aliulizwa hasumbuliwi na mashababi yakitaka kumbandua akasema anasumbuliwa sana Swali mbona haachi?
Kwani huwa anatoa namba zake !! Au wanamfuata face to face
 
Jamii inategemea kupata burudani na elimu kutoka kwa kioo kama hiki cha jamii, kudharau mambo madogo madogo kama haya ndo jamii inazidi kuharibika. Ni vema scene ya mwanamke awekwe mwanamke na ya mwanaume awekwe mwanaume.
Kikishakua hivo kinakua siyo kichekesho!! Hamuwez Cheka kama wakifanya vice versa
 
Kuact kama mwanamke yahitaji moyo sana
Waweza pendezewa na uanamke kabisa kabisa
Mwanaume halisi utapendezewaje na kuwa mwanamke kwa kuigiza tu labda uwe unahormone za kike
 
Mimi hata sielewi mpenzi wake/mkewe huwa anajisikiaje akiona hivo.
Kweli moyo mashine.
 
upload_2016-10-21_14-43-23.jpeg
 
upload_2016-10-21_14-46-29.jpeg

Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom