Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Joti hata kama ni Sanaa lakini...!

Anadhihirisha wanawake huwa hawako real, ni ufeki kila kitu, yani akiwa amesimama, ni feki, akitembea ni kafeki, akizungumza feki, sura imejaa mekaup, nywele wigi, hips sponji etc.
 
Ushoga ni roho. angalieni isije ikamuingia huyu kijoti!!
 
Kikishakua hivo kinakua siyo kichekesho!! Hamuwez Cheka kama wakifanya vice versa
Wanawake pia wanaweza kuchekesha watoe nafasi hiyo ya scene ya mwanamke achekeshe mwanamke. Joti akiigiza kama babu, mtoto wa shule, boss nk anafanya vizuri zaidi kuliko akiigiza kama mwanamke
 
Anahitaji msaada wa kiroho. Hivyo kwa kuwa kwenye hilo kundi kuna mchungi basi amsaidie. Asipitilize mipaka kwani aweza kujikuta pabaya
 
Binafsi huwa sipendezewi sana na anavyovaaga , sawa ni mchekeshaji lkn kwani lazima avae kama mwanamke?Angekuwa ni mpenzi/mchumba/mume wangu nngejitahidi sana nimrekebishe sio siri
 
KICHAA KALOGWA TENA
1477057966707.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom