Mhe Nasari nataka utambue kuwa Chadema ni chama cha kitaifa, pia utambue kuwa pamoja na udogo wako wapo watu wengi ambao wanasikiliza na kufuata kila unachotamka. Maneno ya juzi licha ya kumuudhu mwenyekiti wa Taifa pia yameleta adhari kwa chama kwani wapo wengi wapenzi na wanachama ambao wameona kuwa ni kauli ya kibaguzi. pili ni vyema ukakaa chini ukapanga namna ya kujenga chama ili tuweze kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka mbele. kama akina mbowe wangelewa sifa baada ya kuwa wabunge na kusahau kujenga chama leo chadema wasingekuwa na mafanikio walionayo leo. So dogo tulia acha kuiga mambo fanya yale tuliokutuma bungeni na jenga chama kwa lugha ya kuwavutia hata wapizani wetu.
Kikwete na timu yake ya jeshi la polisi wanawatambua Lema na Nassari kama watu tishio kwenye utawala wao.
Mzee Mwanakijiji na wewe umeshakuwa mwoga kiasi hiki?What happened mkuu?Yani kweli seriously uko that much "disgusted"?Amesema jambo ambalo kwa haraka linaonekana lina mantiki lakini linapuuzia uzito wa alichokisema. Kama ni mtu mdogo hivyo aligombea ubunge wa nini? Kama anakosa hekima ya kupima madhara ya maneno yake - watu wanaweza kuumia kwa kauli moja tu ya mtu mwenye ushawishi - kwa sababu yeye ni 'mtu mdogo' ananitisha. Yeye anaweza kuwa na umri mdogo lakini nguvu ya ushawishi wake inashinda baruti na siyo watu wote wanaomsikiiliza wanamchukulia kuwa ni mtu 'mdogo'. grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Mhe Nasari nataka utambue kuwa Chadema ni chama cha kitaifa, pia utambue kuwa pamoja na udogo wako wapo watu wengi ambao wanasikiliza na kufuata kila unachotamka. Maneno ya juzi licha ya kumuudhu mwenyekiti wa Taifa pia yameleta adhari kwa chama kwani wapo wengi wapenzi na wanachama ambao wameona kuwa ni kauli ya kibaguzi. pili ni vyema ukakaa chini ukapanga namna ya kujenga chama ili tuweze kukitoa chama hapa kilipo na kukipeleka mbele. kama akina mbowe wangelewa sifa baada ya kuwa wabunge na kusahau kujenga chama leo chadema wasingekuwa na mafanikio walionayo leo. So dogo tulia acha kuiga mambo fanya yale tuliokutuma bungeni na jenga chama kwa lugha ya kuwavutia hata wapizani wetu.
Kina Ritz wanamwona Nassary ni mtu mkubwa sana. Ni waoga hujapata kuona
Wananchi hawaunganishwi, wananchi wanaungana.Mimi ni mfuasi wa CHADEMA lakini kauli ya Nasari imenikera sana sana sana. Najua umri unaweza kuwa tatizo la kijana hyuyu kuwa na busara inayopungukia lakini alipaswa kuwa makini na kauli zake. Wana Arusha wanapaswa kutambua si mapenzi ya wanaarusha/K'njaro kwa chadema ambayo pekee yanayofanya chadema iwe na nguvu kitaifa.
Hampaswi kunaswa na mtego wa CCM vinginevyo mtajikuta peke yenu kama ilivyo CUF na waislam kwa sasa.
DIRA ya CHADEMA nikuungasha watanzania wote popote walipo kushiriki ukombozi. DIRA ya Chadema ni kuunganisha watanzania na si kuwagawa/kugawana nchi.
Kama kuna wanaarusha wenye fikra finyu kama za Nasari nivyema wajirekebishe
Kigarama, huo uovu alioutenda Nasari ndo upi?Ebu nieleze vyema makosa ya kauli yake, halafu tuone huo uovu uko wapi.Wakuu jmushi1, Mungi na Gurtu kwa nini mnaamini watu wasio waoga ni wale tu wanaotetea hata madudu ya CHADEMA? Mwaka 2007 mimi nilianzisha thread humu yenye kichwa "Ni lazima CCM ife" nilikuwa shujaa? Wakati huo ni wangapi walikuwa wana hoja za kutaka CCM ife ili Tanzania isalimike na ni wangapi kati yenu mlikuwa na msimamo chanya na CHADEMA wakati huo?
Mzee Mwanakijiji ni mara ngapi humu ameanzisha mada ama za kuitetea CHADEMA au kuhamasisha watanzania kwamba suluhu ya matatizo yetu haitapatikana hadi hapo tutakapoiondoa CCM? Wakati Zitto anatafuta saini 70 za wabunge si Mzee mwanakijiji ndiye aliyesema tatizo si Waziri MKuu bali ni Rais Kikwete na chama chake cha CCM? Leo akisema Nassari Kakosea ndiyo mhoji uwezo wa akili zake kufikiri?
Hatuwezi kuhalalisha uovu unaotendwa na viongozi wa CHADEMA eti kwa sababu uovu kama huo au zaidi ya huo unatendwa na viongozi wa CCM. Kila mtu atashutumiwa kwa makosa yake na si kusamehewa kwa makosa ya mtu mwingine.
Ah kwa Ritz na Rejao huyu ni mkubwa sana kwao. Aliwagonga msumari wa moto kichwani. Hawatamsahau mpaka.
Na hapo jmushi1 linapokuja tatizo kwa wengi wenu. Uovu si matendo pekee yake hata kauli kuna kauli ovu. Ukiwa Mmarekani hata kama si kiongozi ukisema "nataka kuitenga Texas na USA" subiri uone shughuli yake. kauli ya Nassari ni kauli ovu na ndiyo maana Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye mimi naamini ana busara sana aliamua kumkanusha Nassari pale pale na kusema CHADEMA haina mpango huo!!Kigarama, huo uovu alioutenda Nasari ndo upi?Ebu nieleze vyema makosa ya kauli yake, halafu tuone huo uovu uko wapi.
Mkuu Kigarama, kwani nani kasema marekani hakuna wanaotaka kujitenga na mbona huwa wanasema wazi wazi?, tatizo ni kwamba manufaa ya kujitenga ni machache kuliko yale ya kuungana, states zinaweza kufilisika zikijitenga,zitapigwa kodi kama vile ni mataifa ya nje, tena hata passport na visa etc, kulikuwepo na umuhimu wa kuungana, haukuwa wa kulazimishiwa sana, walipigana ndiyo wakaungana.Sisemi tupigane, ila mikwaruzano ipo, haina maana tutapata maendeleo kwa kuwa makondoo na kuachia watu wafanye wanachotaka kwasababu wanaongoza nchi yenye wananchi wenye nidhamu ya woga!Na hapo jmushi1 linapokuja tatizo kwa wengi wenu. Uovu si matendo pekee yake hata kauli kuna kauli ovu. Ukiwa Mmarekani hata kama si kiongozi ukisema "nataka kuitenga Texas na USA" subiri uone shughuli yake. kauli ya Nassari ni kauli ovu na ndiyo maana Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye mimi naamini ana busara sana aliamua kumkanusha Nassari pale pale na kusema CHADEMA haina mpango huo!!
Sasa nyie mnaomtetea Nassari mnataka kutuambia mko kinyume na Mbowe ambaye kikatiba ndiye mwenye mamlaka ya kutoa matamko ya chama?
Kina Ritz wanamwona Nassary ni mtu mkubwa sana. Ni waoga hujapata kuona
Fredrick Sanga.
Dogo Nassari anaropoka sana muwekeni chini mfahamisheni siasa za Tanzania zilivyo.