TCAA imefika wakati waziangalie hizi Chopa used ubora wake wa kuruka na kubeba abiria.
Pole sana Nassari kwa ajali.
Nassari anatumia kodi zetu kukodisha chopa. Halafu anatakiwa akaombee msamaha wagombe wa CCM aliowatukana juzi.
Pole yake ila CHADEMA washauri wenu wanatia shaka sana. . . . . . .
Pole yake ila CHADEMA washauri wenu wanatia shaka sana. . . . . . .
Mkuu wanatia shaka kwa lipi?
HahahahahaahNawaombea wapone mapema..
Ila ubunge wasahau....