Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Sasa hiyo chopa kama haifanyiwi services unategemea nin ,hii chopa kuna kada MMOJA WA CCM aliikodisha na akadai ni mbovu ,na ILITAKA KUMUUA ndesa akaja juu akitishia kuumpeleka MAHAKAMANI kwa kumuharibia biashara ,sasa hadi itakapo waua ndio wataamini kuwa ni mbvu

Ndesamburo ni mchagga yule anapenda sana pesa, Alitaka Chopa ipate ajali iharibike ili alipwe na bima chopa nyingine mpya
 
Hapo na siasa imeingizwa, eti uchawi! 'nilipokea cm toka kwa mchungaji mmoja' mbona hamtaji jina?! siasa siasa siasa! credit to oct 25! ni maoni yangu tu!

Kusema kuwa nilipokea sumu kutoka kwa mchungaji mmoja nayo ni siasa?kumuhusisha Mungu kwa kumshukuru nayo ni siasa?kuhusisha tukio na uchawi nayo ni siasa?au wewe ndiye unayejaribu kuhusisha tukio na siasa?kwani hakuna hata sehemu moja ambapo Nasary kahusisha tukio na siasa.
 
Wote mkosahihi anaye amin uchaw upo na asiye amin zote hizo ni iman na zinawasaidia watu na kuwatesa pia
 
Hii ni lini? Mbona uzi ni wa mwez July?

In short ni kuwa yule rubani aliyepata ajali na kufariki kwenye ajali iliyoondoa uhai wa filikunjombe ndiye aliyenusurika kwenye ajali ya joshua nassari,hope umeelewa
 
Back
Top Bottom