Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Joshua Nassari apata ajali ya chopa

miaka mitano chopa akikaa kumi itakuaje..embu atumie gari basi. ila pole kwa wote
 
Huyu Dogo, anapata wapi hela za kukodi chopa..? kwann asitumie tu gari..!?

Pole sana anyway...!!!
 
Nassari ni mzima ila majeruhi wamekimbizwa hospitali. Helicopter imenasa juu ya mti!
 
Ajali imetokea baada ya helikopta aliyokuwa anatumia jimboni kwake kupotea kulikosababishwa na mawingu na kupelekea helikopta kunasa kwenye mti. Mungu amewajalia kutoka salama sasa wamelazwa katika Hospitali wilayani Arumeru.

CHANZO: ITV- Habari.
 
Yeye na rubani wamelazwa Selian hspt,ilianguka na kunasa juu ya mti:Chanzo ITV Habari za hivi punde
 
Back
Top Bottom