Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Joshua Nassari apata ajali ya chopa

bila ujuzi wa GIS ingekuwa balaa hongera rubani hali ya hewa Arusha kwa sasa angani inahitaji ujasiri. yote hayo ni kwasababu kuhakikisha kila Mtanzania anapata mlo maratatu kwa siku.

mafisadi yalaaniwe
 
Mwenyezi Mungu awaponye majeruhi warudi katika majukumu yao.

Pole sana Kamanda Nassary, Mungu akupe nguvu urejee kwenye hali yako wewe na majeruhi wengine wote. Wananchi wa Arumeru wanalo la kujifunza kwa Ajali hii. Kamanda alikuwa kazini kuhakikisha nyote mnajiandikisha na kujitokeza kupiga kura..!!

Get well soon comrade.

BACK TANGANYIKA
 
Ni kweli chopa ziwe zinakaguliwa na precaution zote zinaangaliwa. Zitakuja kuondoka na kiongozi mkubwa tu kusipokuwepo uangalifu.
 
mwenyezi Mungu akuongoze upone haraka na hatimaye urejee katika majukumu yako ya kila siku ukiwa katika hali yako ya kawaida. . . .
 
Si ndio ile chopa iliotaka kumuua kada wa ccm miezi michache iliopita?
 
Ni kweli chopa ziwe zinakaguliwa na precaution zote zinaangaliwa. Zitakuja kuondoka na kiongozi mkubwa tu kusipokuwepo uangalifu.

Kadri unavyorusha dadu mara nyingi zaidi basi unazidi kuongeza yamkini ya matukio. Hizi CHOPA ni kwa ajili ya matukio ya dharura na safari za kwenda maeneo yasiyofikika kiurahisi, na ukweli unabakia kuwa bado ni teknolojia ya hatari sana kuchezea kama zilivyo safari zingine za anga!

NB: Hamna mtu aliyeniudhi mwaka huu zaidi ya yule jamaa aliyeshusha chopa lake katikati ya umati wa watu pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa uzinduzi wa safari ya matumaini!
 
Pole kamanda nasari mungu yupo nasi daima
 
Chopa za mchina ni shida. Wabongo kwa used. Lol

On Serious Mode:
Pole zimfikie Mh. Nassari na wengine. Mungu awaponye na kuwaepushia matatizo. #Amen .
 
Back
Top Bottom