Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Hapo na siasa imeingizwa, eti uchawi! 'nilipokea cm toka kwa mchungaji mmoja' mbona hamtaji jina?! siasa siasa siasa! credit to oct 25! ni maoni yangu tu!

Yaani shida hawa jamaa zetu Kwa Kweli baada Ya kushukuru kwa Muumba Upo salama Ati uchawi kweli? Karne hii unaamini uchawi wakati pilot kasema hali ya hewa.....
 
Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Makamanda wote wazima.

KIKUBWA ZAIDI NI KWAMBA CHOPA MPYA INAKUJA KABLA YA KAMPENI KUANZA.

NB: namshauri Ndesa Pesa safari hii anunue chopa la kijeshi kabisa ili kukabiliana na hali yoyote ikiwemo hawa panyaroad (policcm)
 
Kitu cha umuhimu ni kumshukru mungu kutoka ukiwa hai iman za kichawi con km zina nafac karne hii......mungu hawabark
 
Dahh chama fullll chakichaga hadi kapteni ni wale wale chodomo ni uchaga mixxa ugalatia
 
Ilikuwa ni hatari sana , nawaombea mpone haraka mrudi mjengoni kutuwakilisha. Ugua pole
 
Karne Hii bado unaamini uchawi kweli? Pole sana

Acha kujishauawewe ushirikina ulisha kuwepontoka enzi na enzi ndio mana hata vitabu vitakatifu pia vimeuongelea acha unafiki wa kujifanya hujui ushirikina wakani ni mdau wa mambo hayo sana tu.
 
Nyinyi hamjui kwamba hiki ndiyo kipindi ambacho ccm hutumia kila mbinu ili wafanikishe mambo yao?.
Mungu walinde makamanda wote wa CDM na UKAWA ili tuikomboe Tanganyika yetu.
 
Cha kumshukuru Mungu ni kwamba Makamanda wote wazima.

KIKUBWA ZAIDI NI KWAMBA CHOPA MPYA INAKUJA KABLA YA KAMPENI KUANZA.

NB: namshauri Ndesa Pesa safari hii anunue chopa la kijeshi kabisa ili kukabiliana na hali yoyote ikiwemo hawa panyaroad (policcm)

Sasa hiyo chopa kama haifanyiwi services unategemea nin ,hii chopa kuna kada MMOJA WA CCM aliikodisha na akadai ni mbovu ,na ILITAKA KUMUUA ndesa akaja juu akitishia kuumpeleka MAHAKAMANI kwa kumuharibia biashara ,sasa hadi itakapo waua ndio wataamini kuwa ni mbvu
 
Huo ukanda kuanzia kia una upepo wa ajabu sana na mkali kuna cku hapo kia upepo uliangusha gari 2 na yale mabongo makubwa ya matangazo ilikua mwaka juzi......smytm hata ukiwa kwenye ndege unatua unaona ndege inavyoyumba
 
Yaani shida hawa jamaa zetu Kwa Kweli baada Ya kushukuru kwa Muumba Upo salama Ati uchawi kweli? Karne hii unaamini uchawi wakati pilot kasema hali ya hewa.....

Uchawi haukuwekewa mipaka ya karne, wala kuuongelea haimaanishi unauamini , na either uuamini au usiuamini wenyewe upo tu kama yalivyo maisha. Haimaanisha kuwa usipoishi wewe basi maisha hayapo.
Haihitaji nisomee au niwe Daktari ili kutambua kuwa naumwa, wala kuweka milango imara na kuweka mali zangu vizuri kwa hofu ya kuibiwa haihitaji mpaka niwe askari.
 
Back
Top Bottom