Joshua Nassari apata ajali ya chopa

Joshua Nassari apata ajali ya chopa

mungu akuponye haraka kamanda nassary mapambano bado yanaendelea
 
Poleni sana makamanda Mungu awasaidie mpone haraka mrudi kwenye ukombozi Wa Tanzania
 
Pole Nasari.
Ila kuna umuhimu gani wa kutumia helcopter ndani ya jimbo?
 
Tunamtakia afya njema apone haraka ili aweze kurudi kwenye mapambano.
 
kwani yy siyo mmeru?ujue wameru wanakaa kifamily kama ukoo wa simba
 
...

....liwe giza liwe wingu chopa zitaruka tu ukombozi wa nchi si lelemama !!!
 
Back
Top Bottom