kwa kweli, amedanganjya umma wa watanzania, swali ni kwanini?
watanzania wengi kuanzia na viongozi wake hawana taarifa wakati, hawana uptodate info,
hawana sifa ya kupenda kujisomea, kupata info mpya especially demographic ambazo ziko zinachange kila wakati, , sasa ni ushauri kwa wote, viongozi na wananchi tupende kujisomea, kupata elimu wakati, kwa viongozi wa siasa na wengine wakumbuke kwamba maelezo wanayotoa kwa majukwaa yana influence kubwa either kudumisha au kuendeleza, wawe makini na data walizo nazo, , ,