Mkuu, unanichekesha!
Unakataa kisha unakubali, kwa hiyo akiwa katika kampeni ubunge anauvua?
pwani aliahidi kujenga viwanda ili kutoa fursa za ajira kwa vijana.cjui ameshajenga ?Na kujenga International Airport kule Misenye Kagera (kumbuka hata Mwanza hakuna International Airport),
Na kununua meli ya kisasa kwa ajili ya Ziwa Victoria, kubwa kushinda MV Victoria.
To remember only those 2.
Hujui wakati wa kampeni unasema hovyo hata ukidanganya watu wanapeta tu. Lakini pale yuko kazini kututumikia Watanzania wote, si wa chadema tu, asitudanganye akafikiri tunadanganyika kama wachadema wenzake waliompa kura kwa uongo wake: Watanzania na Ubaguzi Wa Ujinga!
Blaki Womani hii thread nilishaichangia tokea asubhiHii thread zomba na wenzake waliwasiliana kwanza.
unafanya nini huku unamrithi Mungi karibu kwenye uzinduzi wa jiji................:focus:
zomba ndugu yangu usifungwe na hizi statistics. Kama kweli unaielewa demography ungejua kuwa kuna data nyingi za life expectancy.
Mbaya zaidi hizi data zinatofautiana kulingana na madhumuni ya organisation iliyoandaa hizo data and in what context. Kwa mfano unadai Nassari amesema life expectancy ni miaka 47. Sijui katumia data za organisation ipi na za mwaka gani.
Wewe unampinga kwa kutumia data za UNDP kuwa life expectancy ni miaka 58.2.
Na mimi naweza kuwapinga wote kwa kutumia data za WHO ambazo zinasema life expectancy at birth ni miaka 55 na life expectancy at age 60 ni miaka 16.
Tanzania National Statistics nayo itakuja na data zake na kuwapiga wote kwa kusema kuwa total life expectancy at birth ni miaka 55 (ambapo kwa wanaume ni 53 na wanawake 55.
Sasa hapo sijui utadai data za UNDP ni sahihi na kuzipinga data za WHO na Tanzania National Statistics?
Think critically.
Source: CIA World Factbook - Unless otherwise noted, information in this page is accurate as of July 26, 2012Life expectancy at birth: total population: 53.14 years
male: 51.62 years
female: 54.7 years
Ni walewale. Mnakuja na kila mbinu lakini mashindwa kutuambia hiyo life expectancy ya Nassari imetoka wapi?
Kani hizo si data tu ambazo mtu yeyote mwenye dhamana anaweza kuzipika na zikawa zinatumika kama takwimu halali?
Unadhani matokeo ya sensa ndo yatakuwa ukweli halisi?
Matokeo ya kura huwa ni ukweli halisi?
Ndiyo wabunge wetu
jamani, tuavumilie tu. Ukiwa na mbunge ambaye ana utoto, ulimbukeni
ukachanganya na kuwa mweupe kichwani lazima ufike mahali
umhurumie.
Zomba kubali kuwa namba haipandi. Rudi darasani kama hutaki kunyanyaswa. Lakini kumbuka Nasari ni mbunge tu ila inapotokea Waziri Mkuu kuwa Mwongo kwa maslahi ya chama chake na kupuuza maslahi ya Umma wa Watanzania, hilo siyo tatizo?
Ni wale waleNi wale wale? fata link: Watanzania na Ubaguzi Wa Ujinga!
Mbunge Joshua Nassari amedanganya alipokuwa anahojiwa na ITV kwenye viwanja vya bunge Dodoma aliposema "life expectancy" ya Mtanzania ni miaka 47 kwa sasa.
Huo si ukweli kabisa, uwiano wa "life expectancy" ya Mtanzania si chini ya miaka 58 kwa sasa.
![]()
Source: Life expectancy at birth in Tanzania
Na hizi nyingine:
Chanzo kilichotangazwa waziwazi mbele ya waandishi wa habari, hizo takwimu za Nassari za miaka ya utawala wa Nyerere, nna uhakika hata yeye alikuwa bado hajazaliwa.
UNDP wanasema hivi na si hivyo tu wanazitoa rasmi mbele ya waandishi wa habari, unaweza kuzikataa?
Director of Economic and Social Research Foundation (ESRF), Dr Bohela Lunogelo (Left) speaks in Dar es Salaam yesterday during the launch of Human Development Report 2011. Center is UNDPs Economic Adviser, Amarakoon Bandara and UN Resident Coordinator Mr Alberic Kacou. PHOTO | VENANCE NESTORY![]()
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Thursday, 03 November 2011 22:59
Tanzanians now have higher life expectancy fixed at 58.2 years at birth than the rest of the citizens of East African Community (EAC), the 2011 Human Development Report (HDR) released by the United Nations Development Programme (UNDP) shows.
According to the report released yesterday by the UN Resident Coordinator in Tanzania, Mr Alberic Kacou, taking the lead in the EAC in terms of ranking of life expectancy, Kenyans follow Tanzanians with life expectancy of 57.1 years and Rwandans with 55.4 years.
Source: Tanzania
Ndio hizi hapa data zenyewe:
![]()
zangu zinatoka hapa: http://hdrstats.undp.org/images/explanations/TZA.pdf
Wabunge wengine sijui wako dunia ipi, yaani hiyo "life expectancy" ni miaka ya Nyerere huko si leo wala jana.
Mpaka sasa sielewi huyu Mbunge anapata faida ipi kuwadanganya umma wa Watanzania kupitia vyombo vya habari.
Aombe radhi haraka sana.
Walewale waliojazwa Ubaguzi wa Ujinga. Weka wewe takwimu zako za mwaka huu au mwaka jana au mwaka juzi zinazokubaliana na za Joshua Nassari. Mimi nimeweka na source na link unaifata unasoma ukipinga unakuja na zako na source na link.