Joshua Nassari adanganya "live" ITV


Fata link nimeweka kwenye post #1 (huwa sikisii) utajuwa, weka source yako inayokubaliana na Nassari kama hujashushuka.
source nyingine hii hapa[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TH]Country[/TH]
[TH]2000[/TH]
[TH]2001[/TH]
[TH]2002[/TH]
[TH]2003[/TH]
[TH]2004[/TH]
[TH]2005[/TH]
[TH]2006[/TH]
[TH]2007[/TH]
[TH]2008[/TH]
[TH]2009[/TH]
[TH]2010[/TH]
[TH]2011[/TH]
[TH]2012[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanzania[/TD]
[TD="align: right"]52.26[/TD]
[TD="align: right"]51.98[/TD]
[TD="align: right"]51.7[/TD]
[TD="align: right"]44.56[/TD]
[TD="align: right"]44.39[/TD]
[TD="align: right"]45.24[/TD]
[TD="align: right"]45.64[/TD]
[TD="align: right"]50.71[/TD]
[TD="align: right"]51.45[/TD]
[TD="align: right"]52.01[/TD]
[TD="align: right"]52.49[/TD]
[TD="align: right"]52.85[/TD]
[TD="align: right"]53.14[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tanzania - Life expectancy at birth - Historical Data Graphs per Year
 
utakuwa unashabikia hilo fao la NSSF lisifutwe ndoo maana unailazimisha ipite 55 tumeshakushitukia na tutakuamini vipi wewe?

Sina fao la NSSF linalonisubiri.
 
Inawezekana hakukurupuka ila source yake ndio haijajulikana bado....hatupaswi kusema mengi ila source nyingine huwa si za kweli

unafanya nini huku unamrithi Mungi karibu kwenye uzinduzi wa jiji................:focus:
 
Last edited by a moderator:
mmepunguziwa miaka ya kuishi tu povu linawatoka!acha uoga kifo kipo tu hata uishi miaka 100
 
Jamani tuache ushabiki kabla ya kuchangia soma habari na uelewe sio unakurupuka kama wale waliokataa posho uku njaa zimewashika
 
Kutokana na ajiria tata na lishe duni, hakuna usalama wa maisha Tanzania. Hivyo, alichosema Joshua Nasari ni zaidi ya ukweli
 
Mbona povu jingi sana mdomoni mkuu? Hiyo taarifa yake imekuathiri vipi wewe? Na je yeye (Mhe. Nassari) ndiye msemaji mkuu wa Idara ya Takwimu TZ hadi umkomalie kiasi hiki?

Mbona wenye mamlaka na ambao tamko lao huwa kama sheria kwa TZ, wakiongopa, povu halikutoki kiasi hiki. Una nini na Mhe. Nassari? Jiweke wazi.
 

Hiyo inakuonesha kuwa life expectancy yetu ya sasa ni miaka 47 ? halafu hizo data zako zimekuwa presented hapa Seikalini na kwenye vyombo vya habari na zikakubalika? Kama hapana, ujuwe si data za maana.

Data nilizokuwekea mimi, ni za UNDP na zimeletwa Serikalini na ndio zinazokubalika Umoja wa Mataifa.

Hivi huko mashuleni huwa mnafundishwa ujinga?
 
Ndiyo wabunge wetu jamani, tuavumilie tu. Ukiwa na mbunge ambaye ana utoto, ulimbukeni ukachanganya na kuwa mweupe kichwani lazima ufike mahali umhurumie.
Mbaya zaidi mbunge mwenyewe awe wa CCM aliyepita kwa rushwa na kujikomba kwa rais akamteua kuwa Naibu waziri wa Elimu, hakika atakwenda kwenye makongamano ya kimataifa na kudanganya mchana kweupe bila hata aibu kwamba Tanzania ni muungano wa Pemba na Zimbabwe!
 
kama hadi mawaziri wa serikalini wakati mwingine wanafanya mambo ya kijinga unategemea nini lazima mashuleni wafundishe ujinga
 

Kama si msemaji mkuu ajifunze kusema ukweli, mbunge ni kioo cha jamii. Hili analolipata hapa ni somo. Ajifunze, asifikiri yuko kwenye kampeni ambako hata ukiwadanganya yanaingilia huku yanatokea kule. Hapo yuko kwa kazini na mshahara wake tunaulipa sisi.
 

Mkuu, unanichekesha!
Unakataa kisha unakubali, kwa hiyo akiwa katika kampeni ubunge anauvua?
 
upuuzi mputu, midata ya kupika unakurupuka nayo kisa kasema Nasari, angesema Lusinde ungekaa kimya
 

What about Zungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…