Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

Mtoto mzuri uongo dhambi, hivi itagharimu shs. ngapi? Maana kila mtu kaalikwa. Nimependa sana hii style hakuwasahau watu wake. Safi sana.
 
Mdada mzuri sana alafu kanaonekana katulia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mkuu kwani kwenye ndoa kalio lina kazi gani?

Mkuu lina mvuto wake, hata akiwa miss anapendeza sana akiwa na bumps kidogo, gari zikipita zinapunguza speed, sasa akiwa flat screen gari zinapita na speed sana.
 
no wigi, no make up, no makope ya kubandika wala makucha yale maref.....saf sana....kila la kheri kamanda
 
Mkuu lina mvuto wake, hata akiwa miss anapendeza sana akiwa na bumps kidogo, gari zikipita zinapunguza speed, sasa akiwa flat screen gari zinapita na speed sana.
hahahaha, kumbe pass inasaidia kupunguza ajali
 
Karibu sn tutawaombea zaidi kwa shemeji yetu awe na busara na uvumilivu kwani changamoto ni nyingi
 
Mbona kapigwa pasi nyuma huku au macho angu ndo sio mazima?


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Kwa nini unadhani nasarri alitaka mke wa level ya hao waliokubuhu? Angetaka si angewapata tu?

kuna watu wanapenda maisha ya kawaida yasiyoghoshiwa!
Kako very traditional atapata kazi sana kuja kukaweka uptodate kafikie level ya akina mbasha na vicky kamata....
 
Kwa huyo mke jamaa kadhihilisha ushamba kwenye mambo ya wanawake... kweli nimeamini kubinya watoto wazuri ni vipaji vya watu... big up sitta, mengi, nyalandu, platinumz, riz moko bila kumsahau baba ako hasa kwenye michepuko.
 
Back
Top Bottom