Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
?????????namtakia kila raheli kamanda, mungu awapengu huyu shemeji awe nae kamanda. karibuni katika chama cha wanandoa. kilaraheli.
?????????namtakia kila raheli kamanda, mungu awapengu huyu shemeji awe nae kamanda. karibuni katika chama cha wanandoa. kilaraheli.
Yule ni Evelyne Salt au ameweka picha ya katoto ka watu? kama unamfahamu zaidi ya hapa JF its ok, lakini kama unaangalia picha ya katoto nadhani kana mwaka mmoja halafu unakasifia ni hatari aisee, but Harusi ya Nassari itapendeza sana nawaombea wafanikishe tendo hilo takatifu kwa amani, pia wapiga picha msiache kututumia.
Evelyn Salt namfahamu, nimeoa kwaoYule ni Evelyne Salt au ameweka picha ya katoto ka watu? kama unamfahamu zaidi ya hapa JF its ok, lakini kama unaangalia picha ya katoto nadhani kana mwaka mmoja halafu unakasifia ni hatari aisee, but Harusi ya Nassari itapendeza sana nawaombea wafanikishe tendo hilo takatifu kwa amani, pia wapiga picha msiache kututumia.
Nimefurahi sana alipowakaribisha wananchi wa jimbo lake tena bila kadi...hii itakuwa harusi ya kwanza hapa Tanzania kufanyika kwa style hiyo...big up sana kamanda Nassari, 2015 Maccm hawatakuwa na nyimbo tena, Utakabidhiwa mke na jimbo pia.
Karibu ktk chama cha mateso na kulala uchi.
umeona eh!? Nilikua naangali hadi unywele, atakua msabato nini?
kazureeeeeeeeeeeeeeeView attachment 163087
Kako very traditional atapata kazi sana kuja kukaweka uptodate kafikie level ya akina mbasha na vicky kamata....
asalaaaaleeee,kwa maaana mchana aibu usiku fuluuu kurahatupuika au siyomchana ukiambiwa kaa vizuri ubane miguu, usiku ukiambiwa kaa vizuri utanue miguu sawa? Umenisikia?
na wawe na...kama wa PK![]()
Aisee mbona mzuri duh Nassari kapata mke Mungu awabariki awajalie watoto wazuri wakike na wakiume amen.