Kamepigwa Pasi hako balaa!!.
Wanawake jifunzeni apa, mawigi na mikorogo sio dilooo!!
no wigi, no make up, no makope ya kubandika wala makucha yale maref.....saf sana....kila la kheri kamanda
Tatizo lako moja, una mpenzi mweusi sana sio kama huyu
haha,,rangi wamefanana
Kwa hiyo hao ulowataja ndo level ambayo wanawake tunapaswa kufiki ? :wave:Kako very traditional atapata kazi sana kuja kukaweka uptodate kafikie level ya akina mbasha na vicky kamata....
Hivi mnajuwa wife wa nasari ni member wa jf tena huwa anapapenda sana chit chat kwenye ule uzi wa kiwatengu mtongozano
Tulishamgombania sana kule jamaa alikuwa anatuchora tu!
mchana ukiambiwa kaa vizuri ubane miguu, usiku ukiambiwa kaa vizuri utanue miguu sawa? Umenisikia?
Kamepigwa Pasi hako balaa!!.