Josephine Mshumbusi ajifungua

Hongera sana Dr.Slaa na JF Member Josephine Mushumbusi. Mungu amlinde na kumpigania mwanenu
 
Waswahili bwana,
Angekuwa ndo Mama wa Kwanza (Salma) kajifungua ungesikia...........................ooh huyo mtoto ni mjukuu au..............

''Huyo mtoto atakuwa kidato cha tatu wakati Slaa kisha anamaliza vipindi viwili vya uraisi.......2015-2025''
 
Dr Slaa uniwie radhi, with all due repects.
Sina pongezi za kukupa kulingana na tatizo la kijamii ulilolitengeneza.
Umezaa na "mchumba" ambaye ni mke wa mtu.
Unaweza kuwa huna kosa , na nafikiri kosa ni la Josephine kwa kutoeleza ukweli.
Kulingana na habari ambazo hazijakanushwa Josephine bado ni mke wa mtu, not withstanding kwamba hawajatengana rasmi na mume wa zamani.
Na Dr Slaa ukiwa Mkatoliki msimamo wa Ukatoliki katika kutengana uko wazi-kitu hicho hakiexist.
Ni vema mkayaweka maisha yenu katika mtiririko unaokubalika kikanisa.
Hata hivyo mimi nampongeza huyo mtoto aliyezaliwa kwa kuingia duniani.
Hatima ya mtoto huyu kimaisha(kwa kipato) inaweza kuwa hakuna tatizo lakini mtoto anatengenezewa mazingira ambayo hata akikua , hata yeye hata yapenda.
Hongera Slaa Jnr!!!
 
Kulikuwa na habari hapa mwezi uliopita kwamba josephine kajifungua Regency hebu tuwekeni sawa wakuu.
 
Umenena vema!Nimeipenda
 
Kwa hayo huyo ndie awe Rais wa Watanzania, wengi wao hawapendi kuvunja amri za Mungu. Inashangaza sana.
 
Kulikuwa na habari hapa mwezi uliopita kwamba josephine kajifungua Regency hebu tuwekeni sawa wakuu.
Huo ulikuwa ni upupu! Na bila shaka ni kwmb kuna m2 ali2mwa aje aharibu hali ya hewa humu kipindi hicho na alipofika aka2kuta tupo POWERRRRRRRR!!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom