Josephine Mshumbusi ajifungua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Josephine Mshumbusi ajifungua

Discussion in 'Celebrities Forum' started by KamaTi Kuu, Jul 25, 2011.

 1. K

  KamaTi Kuu Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchumba wa dr slaa amejifungua jana usiku pale hospital ya muhimbili saa tano usiku. MTOTO WA KIUME.
  Hongera josephine, hongera slaa mtoto sio mchezo.
   
 2. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hongera first lady Pamoja na Slaa junior Mungu akubariki ukue na wazazi wako pamoja na jamii ikulelee vyema katika maadili yanayotakiwi ili baadae uje kuwa mzalendo kama au zaidi ya Mzee wako nakuwapigania pamoja na kuwatetea Walala hoi na wanyonge waliogeuzwa manamba katika Nchi yao kwakusalitiwa na huu uongozi wa wa ccm.
   
 3. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hongera Mkuu kwa dume la mbegu.
   
 4. l

  lasix JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  kwani alikua bado hajajifungua till now??
   
 5. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,583
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Hongera sana Dr. Slaa and mama Josephine.
   
 6. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu awabariki wapiganaji wa Tanzania mpya.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Natamani kuona huyo mtoto wa kibabu na kabinti anafananaje.
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Waoooo hongereni sanaaa Mungu awakuzie
   
 9. D

  Danniair JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binafsi natoa pole kwani mmezaa mjukuu. Je, hao mlio nao hawakuwatosha hadi mjizalie wajukuu. poleni karibuni kliniki mkafunge uzazi ili mlitumikie taifa.
   
 10. M

  Mpigania haki Member

  #10
  Jul 25, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sn dr wa ukweli,pamoja na our first lady Mungu awasaidia mumtunze vzur mtoto mtoto, aje awe kichwa km baba yake.
   
 11. MCHONGANISHI

  MCHONGANISHI JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 363
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, hivi huyu ni mtoto wa ngapi wa Dr. Slaa? naskia ana mabinti wakubwa tu. Ningependa niwe wa kwanza kupendekeza jina amuite Rizitwo
   
 12. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  anafanana na avatar yako!!! pua ndefu utadhani mdomo wa mbuni!!
   
 13. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,045
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hii habari ilikuwa hapa week kama tatu zilizopita ina maana kajifungua tena ama wakati ule walikuwa wan atania??!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu..hapa huyu mheshimiwa anajidhalilisha
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hilo jina halifai kabisa, atamuambukiza uzembe, ufisadi na safari nyingi zisizo na tija kwa familia na taifa lake.
   
 16. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #16
  Jul 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Waoo..mpen hongera dkt kwa kumpata mtoto aliyefanana na avatar yangu
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mjukuu ni wao, sasa wewe kinakuwasha nini??
   
 18. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi kwa nini wanaume wasingekuwa na ukomo wa kuwapa watu mimba kama wanawake walivyokuwa na ukomo
  Maana kwa umri ule Slaa huyo mtoto atamwita mjukuu au mwanae?ni mtazamo tuu ila hongereni
   
 19. M

  Mzee Wa Maono Member

  #19
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walizusha last week kuwa kazaa, ila leo hata mimi kuna dereva wa pale makao makuu ya cdm ameniambia hii news leo, mzee slaa bwana alikosa vitu hivi miaka yote ya ujana wake alipokimbia utawa tu akakutana na dunia akadata ona anavyokula raha za dunia sasa.
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  usikute unaogopa kuzaa kituko unaanza kujifariji kwa watoto wa wenzio.
   
Loading...