Strategicfight
Member
- May 6, 2017
- 43
- 34
Uko sahihi kbsSalum Mwalimu hajashinda... Wanawake ndo wamepita
Uko sahihi kbsSalum Mwalimu hajashinda... Wanawake ndo wamepita
Ni ke na meMatokeo yametoka yayari, majina mawili ninayo hapa. Naogopa cyber crime kutangaza sio jukumu langu
G9t
Wametangaza,wanawake wote wawili.. Pamella Masay na Josephine. Wanaume chali
Daaaaah alichakachuliwa vipi mkuu?nilisoma naye chuo,alinitangulia darasa moja,nilikuwa kwenye timu yake ya fitna za kampeni ya urais wa chuo,walipostukia ana damu ya upinzani chuo kikamchakachua 'laivu'
nilisema mtu hafifu lazima achague hafifu mwenzie. zaidi ni shida sana
Ina maana kamati kuu ilichagua watu hafifu? Ninajua majina yote yaliyowasilishwa ni watu competent ndiyo maana wamepitishwa na vikao halali.nilisema mtu hafifu lazima achague hafifu mwenzie. zaidi ni shida sana
Acha tu wenzetu Wakenya waendelee kusonga mbele maana sisi uchama kwanza mengine baadaeWatanzania tunatakiwa kujiuliza sana kwa nini hiki chama ccm kinawaogopa sana Viongozi wa chadema mfano ni Masha na Wenje kufanyika walichofanyiwa na hao wabunge kwa kweli sio hii ni lanaa kubwa kutowapeleka watu wenye weledi
Hongera sana akina mama mlioshinda, Mungu awatangulie.
'
Wabunge wa CHADEMA waliochaguliwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
1. Josephine Lemoyan
2. Pamela Maasay
Wabunge: 9
Wanaume: 4
Wanawake 5
Jamaa wanachuki mbaya mpaka kwenye misiba only devil and evil spirits can do thatWatanzania tunatakiwa kujiuliza sana kwa nini hiki chama ccm kinawaogopa sana Viongozi wa chadema mfano ni Masha na Wenje kufanyika walichofanyiwa na hao wabunge kwa kweli sio hii ni lanaa kubwa kutowapeleka watu wenye weledi