Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

'
Wabunge wa CHADEMA waliochaguliwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).

1. Josephine Lemoyan
2. Pamela Maasay

Wabunge: 9
Wanaume: 4
Wanawake 5
 
nilisoma naye chuo,alinitangulia darasa moja,nilikuwa kwenye timu yake ya fitna za kampeni ya urais wa chuo,walipostukia ana damu ya upinzani chuo kikamchakachua 'laivu'
Daaaaah alichakachuliwa vipi mkuu?
 
Wanawake wote wawili kushinda pamoja na madhaifu walioyaonesha wakati wa interview hasa yule Pamela Masai nini maoni yako? Je ni kusema ccm imeamua kuwakomesha kina

Masha
Wenje
Safari na
Mwalim pamoja na uzoefu wao na competitiveness yao!
 
Watanzania tunatakiwa kujiuliza sana kwa nini hiki chama ccm kinawaogopa sana Viongozi wa chadema mfano ni Masha na Wenje kufanyika walichofanyiwa na hao wabunge kwa kweli sio hii ni lanaa kubwa kutowapeleka watu wenye weledi
 
nilisema mtu hafifu lazima achague hafifu mwenzie. zaidi ni shida sana
Ina maana kamati kuu ilichagua watu hafifu? Ninajua majina yote yaliyowasilishwa ni watu competent ndiyo maana wamepitishwa na vikao halali.

Kama una ushahidi kuwa ni dhaifu basi walaumiwe Kamati Kuu.
 
Watanzania tunatakiwa kujiuliza sana kwa nini hiki chama ccm kinawaogopa sana Viongozi wa chadema mfano ni Masha na Wenje kufanyika walichofanyiwa na hao wabunge kwa kweli sio hii ni lanaa kubwa kutowapeleka watu wenye weledi
Acha tu wenzetu Wakenya waendelee kusonga mbele maana sisi uchama kwanza mengine baadae
 
Back
Top Bottom