Mwalim Mimi namkubali sanaMimi sio leo tu,huwa namuelewa sana jamaa miaka yote.
Hata mimi nawaza hivyo!!Atapita Prof Safari na Josephine sababu ccm wana yao yawapendezayo
nilisoma naye chuo,alinitangulia darasa moja,nilikuwa kwenye timu yake ya fitna za kampeni ya urais wa chuo,walipostukia ana damu ya upinzani chuo kikamchakachua 'laivu'Mimi sio leo tu,huwa namuelewa sana jamaa miaka yote.
Umeshawahi kumsikiliza Shaka Ssali host wa kipindi cha straight talk Africa VOA?Pronunciation ya kusema Honolabo!!!!?
Jamani na sisi kuwaunga mkono uchaguzi huu tungechangia kwa lugha ya kizungu katika uzi huu.
matokeo yapoje?
Tegemea kushuhudia udini
Ngoja leo tuone utashi wa wabunge kwenye kufanya maamuzi kwa maslahi ya umma.
Mwambie amwangalie shaka ssali yuko startv voa sasa huvi asikilize matamshi yakeUmeshawahi kumsikiliza Shaka Ssali host wa kipindi cha straight talk Africa VOA?
Hivi huu ujinga utatutoka lini?
Bado hawajatangazaMatokeo vipi