Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

R.I.P Ritz umetangulia sisi tunakuja..
 
Last edited by a moderator:
Najua huwa hamchelewi kutoa matusi na hasa kama wewe ambaye umeshaanza kuelekea hukohuko,jaribu kuvumilia,kwanza huko juu tayari kuna mtu umeshmpa matusi,lakini jaribu kuwa mvumilivu na hasa unapojadiliana jambo na mtu,Mtoa mada ameshakujibu kwamba ni habari kutoka kwa mmoja wa viongozi wa ndani sana wa CDM sasa ni source ipi nyingine unayotaka?,lakini la pili bado kuna mdau mwingine humu ndani ameshakukumbusha juu ya hilo nililolisema lakini bado unang'ang'ania kutaka kuijua Source,jaribu kujifunza zaidi utaelewa.
Nadhani hausomi vizuri na kuelewa comments zangu hapa jamvi,tunajadili na sioni uzito wa mambo ya chadema kuletwa na CCM tena kwa mgongo wa ushauri.Nadhani wewe kwenye siasa bado so uachosubiri ni kubebwa tu.Tetesi ithibitshwe ili mjadala uwe mpana na tayari nimejibiwa kuwa lengo ni kumtoa ktk kutimiza wajibu wake maana amezidi,hatuhitaji ushauri toka CCM ili kukujenga chama chetu na wala hatuhitaji kushughulika na tetesi ili kujenga chama.Jaribu kuelewa na kutambua kuwa chadema imefika ilipofikia hapa ilipo kwa sababu mbalimbali na ikiwemo uvumilivu wa wanachama wake.Hatuhitaji siasa za kuvizia wake za viongozi ati tu wanawanyima usingizi.Jengeni hoja za nini mnataka kuwafanyia watz na si hizi TETESI!
 
Huna hoja wewe ni Mbishi na unataka kujifanya unajua sana wakati hujui,endelea sasa kupokea ushauri kutoka kwa wanachema tu na hasa wale unaowaona wanashabikia kila hoja,hao si ndio unaowaamini?,endelea nao!!!!!!!!
 
Nafurahi kusema kama kweli kinachokusukuma kuwa unaishauri chadema kumstopisha Josephine ni uzalendo ili chama cha chadema kikue,basi napata shida sana kukuelewa kwa kuwa mchango wa ujenzi wa chama ni wa kila mmoja naya kama mwanachama wa chadema tumwache atimize wajibu wake.

Pili mada hii haijakamilika mkuu,nawe ni shahidi ktk hili maana ni tetesi na kama vile haitoshi bado tetesi hii haijataja chanzo cha habari.Na ndiyo maana mwanzo mwa mchango wangu niliomba kujua chanzo cha tetesi ili tuweze kujadili kwa hoja za msingi vinginevyo mnatuaminisha kwa hisia zenu tu na si hivyo tu bali kwa lengo kama mlivyotaja hapo juu kuwa lazima aondoke,hapa ninaamini kuwa huyu Josephine amekuwa mwiba kwenu na hasa ikizingatiwa ni mjenzi mzuri wa hoja kama mke wa kiongozi ambapo huko CCM hakuna wake wa viongozi kuweko majukwaani na hata uwezo wa kujenga hoja ni mdogo na zaidi amekuwa ni sehemu ya ukuaji wa kasi wa chama.

Nakumbuka wakati chama chenu kinajipatia viongozi wake niliwahi kuandika ktk moja ya mijadala hapa kuwa CCM mnajipanga kupambana na CDM na hili hata mwenyekiti wenu alikiri hivyo.So Josephine si tatizo kwa chama na tunahitaji aendelee kuwa alivyo maana CDM haihitaji kuiga njia za Kijima za CCM kujijenga na wala haijawahikuhitaji kujifunza toka CCM ili kujijenga.Na haijawahi kutokea CCM wakatoa ushauri wa kujenga chadema bali wanachadema wenyewe na hasa wenye uchungu na nchi yao.

Mkuu una sound kama Dr wa ukweli...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mgaya,yaani umenishusha namna hiyo kiasi cha kunifanya msemaji wa kilaza Nape,hadi sasa mie ni mmoja wa watu wanaoshangaa kwa nini Nape ni msemaji wa CCM.Hebu nitake radhi mkuu!
Mkuu niwie radhi kwa kukumislead,Nimetambua kuwa wewe ni jembe mkuu.Kumradhi mkuu!
 
Kuna watu wanamiliki viwanda vya kutengeneza uongo duniani.
 
hahahahahaha,mke wa katibu huyooooo.Hiyo ndo demokrasia si kutakuwa na kura za maoni?Halima ananuna nini?kwani ana hati miliki ya jimbo?watachuana kwenye mchakato wa kura maoni
naamini atapita bila kupingwa kama Salma alivyopita bila kupingwa na atagombea ubunge Lindi
 
Dr. Alikuwa kagera juzi mkasema kaenda kumuoshea mkewe kwa wakwe ili agombee. Leo mnasema kawe. Mbona ueleweki?

Mkuu inawezekana kweli Dr Slaa kamuombea huko Kagera lakini hata Kawe napo kamuombea kwa mujibu wa makamanda wa Chadema wenyewe.
 
Mkuu inawezekana kweli Dr Slaa kamuombea huko Kagera lakini hata Kawe napo kamuombea kwa mujibu wa makamanda wa Chadema wenyewe.

Unaweweseka sana na habari zako za uzushi,hivi unajisikiaje nafsi yako unapoongea uongo?
 
Mkuu inawezekana kweli Dr Slaa kamuombea huko Kagera lakini hata Kawe napo kamuombea kwa mujibu wa makamanda wa Chadema wenyewe.

mgombea wako wa ubunge ubungo uliyemuombea ni sheh ponda-mali ahadi yake kuu ni kuchoma makanisa yote Tanzania
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

mrsslaaa.jpg

Mkuu Ritz, achana na siasa za kutunga maneno.

Mwemyekiki wa CCM Mh Jakaya Kikwete akiwahi kusema 'akili ya kuambiwa changanya na za kwako'
 
Mkuu inawezekana kweli Dr Slaa kamuombea huko Kagera lakini hata Kawe napo kamuombea kwa mujibu wa makamanda wa Chadema wenyewe.

Anatumia falsafa ya ,Dont put all your baskets in one egg.
 
Majembe ya ccm online!Yani ni wasap sana,one page.Badae nitakwua akudo tukutane huko tupige picha pamoja!
 
Mkuu Ritz, achana na siasa za kutunga maneno.

Mwemyekiki wa CCM Mh Jakaya Kikwete akiwahi kusema 'akili ya kuambiwa changanya na za kwako'

Mkuu blueray,
Acha siasa za makengeza kwa hiyo wewe unakataa au?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom