Kwa iyo na ww umeona hii ni hoja,ww unaujua ukwel au umemezeshwa,.acha kukariri..hakuna anaejifanya anajua wakat alishajua..JITAMBUE SIO UNAKARIRNakubaliana na wewe kwa asilimia 100 yani uko sawa kabisa,lakini mimi kinachonisikitisha humu ndani kuna ushabiki ambao hauna maana hata kidogo,Mkuu kuna atu humu Jamvini wanaojiona kwamba wao ndio CDM wa kutupa na kwamba wana uchungu sana na Chama hicho wanaponda kila jambo hat kama ni la ukweli na hasa kama ni la ukweli hadi na matusi juu yake,hawajui kwamba mtu anaweza kuleta hoja humu ndani akiwa na nia ya wahusika walione ili walifanyie kazi kabla ya mambo ya kuharibika lakini utakavyoshambuliwa huwezi amini.
Nataka nikwambie hali hii imekuwa ikisababisha badhi ya watu kuamua kujiondoa CDM kutokana tu na Comment za badhi ya watu wnaojifanya kwamba wao ni CDM wa kutupwa humu ndani,sasa sijui ili uonekane wewe ni CDM ni laima uponde kila hoja ya mtu unayeona hakuungi mkono,ama kuunga mkono kilahoja inayotolewa na mwanCDM?,Mi nakwambia bada ya muda mfupi utaniambia!!!!!!
Mkuu blueray,
Acha siasa za makengeza kwa hiyo wewe unakataa au?
Nimekufuatilia sana na nimegundua kuwa wewe ni ndugu Mwepesi wa kigoma kaskazini
Bado unautaka Urais? Ama kweli Dr Slaa ni mwiba mchungu kwako.Hujasoma Tanzania Daima la Jumatano jinsi Dr Slaa alivyokutupa mbali.
Huna hata aibu msaidizi unakuja kumchimba bosi wako kwa thread za majungu.
Wewe ni wale wale! Huwezi kuwa na jipya! Unataka tujadili majungu na chuki binafsi+ uchonganishi?
Utazidi kuumbuka huna lolote!
Wanabodi.
Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.
Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.
![]()
Kumekucha tena Chadema Dr. Slaa ameanza harakatibza chini chini kumuandaa mzazi mwenzie Josephine Mshumbusi kumrithi Halima Mdee ktk kiti cha ubungu
Kumekucha tena Chadema Dr. Slaa ameanza harakatibza chini chini kumuandaa mzazi mwenzie Josephine Mshumbusi kumrithi Halima Mdee ktk kiti cha ubungu
Kumekucha tena Chadema Dr. Slaa ameanza harakatibza chini chini kumuandaa mzazi mwenzie Josephine Mshumbusi kumrithi Halima Mdee ktk kiti cha ubungu
Muulize Mushumbusi kama siyo kweli, huku mitaani zimeshazagaa sana.Hayo ndiyo yale magazeti yaliyosababisha CCM kufilisika kwa vile yanachukua ruzuku kutoka katika chama huku yakiwa hayako katika bajeti.
Huu wote ni woga kwa Halima Mdee hivyo mnaleta umbea wa kuwakosanisha watu.