Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

ACheni WIVU wa Kike nyie watu..mbona hamzungumzi MAMA WA KWANZA WA TAIFA LAKO Anajianda kusini kuchukua UBUNGE.
 
Kumekucha tena Chadema Dr. Slaa ameanza harakatibza chini chini kumuandaa mzazi mwenzie Josephine Mshumbusi kumrithi Halima Mdee ktk kiti cha ubungu

hapo kwenye nyekundu unamaanisha nini?
au unapost meseji ukiwa unatembea...!
 
josephina hamwezi yule halima bora akajaribu muleba
 
Kumekucha tena Chadema Dr. Slaa ameanza harakatibza chini chini kumuandaa mzazi mwenzie Josephine Mshumbusi kumrithi Halima Mdee ktk kiti cha ubungu

Hapa ulikuwa unakunya unaandika ukashutuka mjuzi huko mbele yako hadi ukashindwa kumalizia sentensi.
 
chama cha familia hicho au tuseme ni cha wachache walio kikuza kwa mabilion ya fedha kwa hiyo huwezi kushika dola ya chadema pasipo wao kuwa na nafasi yoyote achen wa weke wake zao
 
Majimbo ya uchaguzi dar es salaam mengi. Anaweza kugombea hata segerea au ukonga. Kote huko chadema inanguvu.
 
Muulize Mushumbusi kama siyo kweli, huku mitaani zimeshazagaa sana.

hakuna kitu kizuri kama mtu kujitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe nafarijika Sana arusha niliulizia hicho kipeperushi sikukiona
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

====
Kijarida hiki cha mafisadi chaweza kupika kila kitu! hakiwezi kuandika kuwa JK amejaza mahawara kwenye nafasi zote za serikali. CDM hakiwezi kufanya yote ya umbea huu!
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

====

Hii ni aibu nyingine.
CHADEMA HUWA WANALALAMIKA KWAMBA CCM WANALISISHANA MADARAKA KIDUGU.SASA KIKOWAPI.

BORA KURITHISHA NDUGU SIO HAWARA.
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

====

slaa akifanya upuuzi huu atakuwa amejifilisi kama hamhui mdee amuulize mbatia 2010. mdee jembe kweli
 
ww ritz ww ni kada wa ccm naona unafanya kazi uliyotumwa na nape vizuri mwambie akuongeze posho lakini ukawa mbele kwa mbele. uache huo ujinga wa kutuletea uzushi wa magazeti yanayochapishwa magomeni
 
hahahahahaha,mke wa katibu huyooooo.Hiyo ndo demokrasia si kutakuwa na kura za maoni?Halima ananuna nini?kwani ana hati miliki ya jimbo?watachuana kwenye mchakato wa kura maoni

Yetu macho tu!
 
Attachments

  • 1421404250900.jpg
    1421404250900.jpg
    41.1 KB · Views: 66
Back
Top Bottom