Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
56,751
Reaction score
46,270
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

====

attachment.php

Kumekucha tena Chadema Dr. Slaa ameanza harakatibza chini chini kumuandaa mzazi mwenzie Josephine Mshumbusi kumrithi Halima Mdee ktk kiti cha ubungu
 
Attachments

  • SlaaaJF.jpg
    SlaaaJF.jpg
    33.9 KB · Views: 4,929
Chademaphobia ... kulikuwa na habari humu ya sheh ponda kugombea ubungo .... mbona hauifuatilii
 
Wa kuleta taarifa hizi ni wewe Ritz!? Halafu tuziamini kweli?
 
hahahahahaha,mke wa katibu huyooooo.Hiyo ndo demokrasia si kutakuwa na kura za maoni?Halima ananuna nini?kwani ana hati miliki ya jimbo?watachuana kwenye mchakato wa kura maoni
 
mhhh... hivi ndiyo huo uongozi mpya chini ya alshabib kinana alivyowatuma kuja na pumba hizi..??? Mwambie Mang'ula kwanza amtimue mwenyekiti wake kama kweli amepania kusafisha rushwa ktk hicho chama cha majambazi !!...
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

mrsslaaa.jpg
Itakuwa kama alivyo fanya Mwalimu Salma Kikwete na U NEC bila kupingwa na mwana Wa mfalme Ritz kaka na dada wa Mfalme kugawana vyeo CCM mbona hakusema hapa?
 
Huu ugonjwa wako una kutafuna sana! Siku ukipona!

Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

mrsslaaa.jpg
 
Hahahahahaha...
Mume rais
Mke Mbunge!!
Chedama oyeeee!!
 
Hakuna tatizo ni haki yake ya kidemokrasia kugombea nafasi yeyote.
 
Mkuu Ritz tusaidie chanzo cha tetesi zako juu ya taarifa hii ili tuweze kushawishika kujadili kimantiki kuliko kujadili kiudaku.
 
Last edited by a moderator:
Unachekesha sana! Eti imetokea sinto fahamu, daaaa kiwanda kinafanya kazi! Huwezi kugombanisha wana cdm hata mara moja! Hapa unafanya kazi ya kung'ata lami.
 
CHADEMA hawawezi kufanya kitu kama hiki, nadhani mtoa mada atakuwa hajui anacho kifanya kama Arsene Wenger.

" IF AM THE BEST MAN AT THIS WEDDING, HOW COMES SHE IS MARRYING YOU
"...Basket Mouth, a Nigerian Comedian
 
Malecela alikuwa na nani Kilango was who and still is who ? Vipi Sitta na mkewe? Vipi Mwinyi na mwanae leo?
 
Chanzo chake ni Tuntemeke, another discredited, disgruntled soul.

kama kweli hivi ni vyanzo tata.So ajipange upya kudanganya na sijawahi kujua Josephine aliwakosea nini hawa vijana maana kila kukicha na kila ukiona mada zao asipotajwa basi ujue kuna watu wanalia kwa kutukanwa matusi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom