Kama kweli huwa anapotosha basi ni tatizo,nakubaliana kuhusu mipaka lakini kwanini wewe wa chama tofauti na
Josephine uje kumsema ilihali wapo viongozi waandamizi hawajalisemea hili kama si lile genge lenye ajenda binafsi ktk chama?!Kwanini iwe ni wewe
Rejao uje kutusemea sisi CDM na wewe ni mwanaCCM je,huoni tatizo hapo mkuu? Je,wewe ni aina ile ya wanachama cha mapinduzi ambao wana-ndimi mbili?!Naamini ktk uhuru wenye mipaka na ninaamini ktk nidhamu lakini pia naamini ktk usawa na bado naamini ktk ukweli.Kwanini wewe ukereketwe na jambo lisilokuhusu? Huu uchungu kwa chadema umeutoa wapi? Au ndo mkakati wa kupunguza nguvu ya chadema? Maana muanzisha mada ni Ritz na mjenga hoja ni
Rejao kama ungekuwa ni wewe ungefikiriaje? Mimi na wewe tunajadili na hatuhitaji kusutana ktk hoja zetu ila wewe mwanajukwaa mwenzangu waonaje? Je,mnamtendea haki Josephine?Hii ni kwa maslahi ya nani hizi za kutaka kumnyamazisha?!