Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Great thinkers wanaacha kujadili habari wanamjadili Ritz . Haya, time will tell, labda mama huyu asiyekuwa na haya na mumewe wabadili mawazo juu ya Josephine kutaka kugombea ubunge Kawe kwa ticket ya CDM
Nimekufuatilia sana na nimegundua kuwa wewe ni ndugu Mwepesi wa kigoma kaskazini
 
Penye ukweli lazima tuseme mkuu. Inabidi wajifunze kukubali kukosolewa kwani makosa ni sehemu ya kujifunza.

Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 yani uko sawa kabisa,lakini mimi kinachonisikitisha humu ndani kuna ushabiki ambao hauna maana hata kidogo,Mkuu kuna atu humu Jamvini wanaojiona kwamba wao ndio CDM wa kutupa na kwamba wana uchungu sana na Chama hicho wanaponda kila jambo hat kama ni la ukweli na hasa kama ni la ukweli hadi na matusi juu yake,hawajui kwamba mtu anaweza kuleta hoja humu ndani akiwa na nia ya wahusika walione ili walifanyie kazi kabla ya mambo ya kuharibika lakini utakavyoshambuliwa huwezi amini.

Nataka nikwambie hali hii imekuwa ikisababisha badhi ya watu kuamua kujiondoa CDM kutokana tu na Comment za badhi ya watu wnaojifanya kwamba wao ni CDM wa kutupwa humu ndani,sasa sijui ili uonekane wewe ni CDM ni laima uponde kila hoja ya mtu unayeona hakuungi mkono,ama kuunga mkono kilahoja inayotolewa na mwanCDM?,Mi nakwambia bada ya muda mfupi utaniambia!!!!!!
 
Nia yangu ni kuonyesha mapungufu yaliyo ndani ya CDM ili wayafanyie kazi. Kumbuka CDM bado ni chama kichanga, tunahitaji kuwapa mawazo ili kuwasaidia wakue, waweze kuleta changamoto kwa chama tawala ili mwishowe tuwe na nchi yenye demokrasia ya kweli.

Tukirudi kwenye mada husika. Huoni kama huyu mama ni tatizo mpaka anafikiria kuwa mshindani wa mwanachama mwenzake tena kwenye jimbo ambalo lipo kwenye mikono ya CDM? Hapa kwa tafsiri yangu ameona kuwa H. Mdee ameshindwa kufanya kazi yake!
Nafurahi kusema kama kweli kinachokusukuma kuwa unaishauri chadema kumstopisha Josephine ni uzalendo ili chama cha chadema kikue,basi napata shida sana kukuelewa kwa kuwa mchango wa ujenzi wa chama ni wa kila mmoja naya kama mwanachama wa chadema tumwache atimize wajibu wake.

Pili mada hii haijakamilika mkuu,nawe ni shahidi ktk hili maana ni tetesi na kama vile haitoshi bado tetesi hii haijataja chanzo cha habari.Na ndiyo maana mwanzo mwa mchango wangu niliomba kujua chanzo cha tetesi ili tuweze kujadili kwa hoja za msingi vinginevyo mnatuaminisha kwa hisia zenu tu na si hivyo tu bali kwa lengo kama mlivyotaja hapo juu kuwa lazima aondoke,hapa ninaamini kuwa huyu Josephine amekuwa mwiba kwenu na hasa ikizingatiwa ni mjenzi mzuri wa hoja kama mke wa kiongozi ambapo huko CCM hakuna wake wa viongozi kuweko majukwaani na hata uwezo wa kujenga hoja ni mdogo na zaidi amekuwa ni sehemu ya ukuaji wa kasi wa chama.

Nakumbuka wakati chama chenu kinajipatia viongozi wake niliwahi kuandika ktk moja ya mijadala hapa kuwa CCM mnajipanga kupambana na CDM na hili hata mwenyekiti wenu alikiri hivyo.So Josephine si tatizo kwa chama na tunahitaji aendelee kuwa alivyo maana CDM haihitaji kuiga njia za Kijima za CCM kujijenga na wala haijawahikuhitaji kujifunza toka CCM ili kujijenga.Na haijawahi kutokea CCM wakatoa ushauri wa kujenga chadema bali wanachadema wenyewe na hasa wenye uchungu na nchi yao.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Rejao UMEMUONA HUYU??!!,SI NILIKWAMBIA?!
 
Nia yangu ni kuonyesha mapungufu yaliyo ndani ya CDM ili wayafanyie kazi. Kumbuka CDM bado ni chama kichanga, tunahitaji kuwapa mawazo ili kuwasaidia wakue, waweze kuleta changamoto kwa chama tawala ili mwishowe tuwe na nchi yenye demokrasia ya kweli.

Tukirudi kwenye mada husika. Huoni kama huyu mama ni tatizo mpaka anafikiria kuwa mshindani wa mwanachama mwenzake tena kwenye jimbo ambalo lipo kwenye mikono ya CDM? Hapa kwa tafsiri yangu ameona kuwa H. Mdee ameshindwa kufanya kazi yake!

Mdee ni mwiba mchungu kwenu ndio maaana mnapalilia fitina kwake ? she will succesfully defend her constituency whether josephine comes or not.

the right of someone to contest or not to contest cant be overemphasized by me or you
it is also important to know that some people naturally are impulsive ,fittingly in the case of Josephine.
 
Hujibu kama Nape kwa kutumia mojawapo ya ID zake nyingi humu!
Possible wewe ukawa msemaji wa Nape maana yeye alikiri siku chache zilizopita kuwa hushindwa kujibu hoja kwasababu anzozijua yeye.Japo naamini ktk siasa mambo yote huwekana kutokea usipopategemea so sishangai lakini ushauri kwa CDM ili iweje?je,kuna nini cha kujifunza toka CCM?
 
Great thinkers wanaacha kujadili habari wanamjadili Ritz . Haya, time will tell, labda mama huyu asiyekuwa na haya na mumewe wabadili mawazo juu ya Josephine kutaka kugombea ubunge Kawe kwa ticket ya CDM

Bado unautaka Urais? Ama kweli Dr Slaa ni mwiba mchungu kwako.Hujasoma Tanzania Daima la Jumatano jinsi Dr Slaa alivyokutupa mbali.
Huna hata aibu msaidizi unakuja kumchimba bosi wako kwa thread za majungu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo huyu mchumba wa Slaa ni much know sana!! Ulishawahi kumsikia mke wa Mbowe au wa kiongozi yoyote wa CDM???
Inabidi ajifunze kujiweka chini ili watu wamkweze! Siyo kila kitu anakirukia rukia tu hovyo hovyo!
Wamlete wamlete tumle hasusa ya kisiasa!
 
Mkuu Rejao UMEMUONA HUYU??!!,SI NILIKWAMBIA?!
Nadhani ndugu Rejao anajua siasa ndiyo maana anakubali mjadala ktk jukwaa,kilicholetwa ni tetesi soma tena pale juu na mleta hoja ni mwanachama mwaminifu wa chama cha mapinduzi na hajaeleza source ya tetesi yake na hilo ktk mchango wangu wa kwanza nimeuliza na sijapewa majawabu mpaka sasa.si vizuri kudandia usilolijua mkuu,nakuheshimu sana na ninaamini hapa ni sehemu ya kujadili mambo yetu yaliyoko ktk jamii in 3D.Je Ungependa Rejao aone nini?!Jaribu kukua kifikra.
 
Chama kimeamua wapi? Lini? haujui kuwa ni haki kikatiba mtu kugombea?

Pamoja na kwamba ni haki ya kila mmoja kwa mujibu wa Katiba,lakini kuna kitu kinaitwa Busara,hapa kulikuwa na kila sababu Dr.Slaa mwenyewe kumshauri huyu mkewe,sijui Mchumba wake ninavyosikia wanamuitwa wengine kumshauri kwamba kwanza huu si wakati wake kwa sababu muda wa kufanya hivyo bado,lakini pili ni mbaya sana na inamharibia Dr mwenyewe katika harakati zake za kuiongoza nchi hii kma Rais mwaka 2015 kwa sababu watu wataanza maneno maneno kama haya sasa yanayojadiliwa humu ndani,hata hivyo hili litakuwa na maana tu kama kweli Huyu Josephine ametangaza kugombea kwenye jimbo hilo!!!!

Nasema hivyo kwa sababu ni wazi kwamba kama Mdee ameshayasikia haya maneno lazima akwazike kwa sababu huu ni muda wa kutekeleza ilani ya chama chake pamoja na ahadi zake alizozitoa,kwa hiyo Josephine kutangaza tena mke wa mkubwa ndani ya chama ni kutaka kumchanganya halima ili ashindwe kufanya kazi yake vizuri huu ndio ukweli wenyewe hata kama kuna mtu atabisha.

Hivi ni kwanini asingetangaza kugombea ubunge kwenye jimbo linaloongozwa na CCM ili waongeze majimbo mengine badala ya kwenda kugombea jimbo ambalo linaongozwa na chama kinachoongozwa na mume wake,kwanza mimi naona huu ni kama usaliti wa waziwazi kwa mumewe na chama anachokiongoza.
 
Possible wewe ukawa msemaji wa Nape maana yeye alikiri siku chache zilizopita kuwa hushindwa kujibu hoja kwasababu anzozijua yeye.Japo naamini ktk siasa mambo yote huwekana kutokea usipopategemea so sishangai lakini ushauri kwa CDM ili iweje?je,kuna nini cha kujifunza toka CCM?

Mkuu Mgaya,yaani umenishusha namna hiyo kiasi cha kunifanya msemaji wa kilaza Nape,hadi sasa mie ni mmoja wa watu wanaoshangaa kwa nini Nape ni msemaji wa CCM.Hebu nitake radhi mkuu!
 
Nadhani ndugu Rejao anajua siasa ndiyo maana anakubali mjadala ktk jukwaa,kilicholetwa ni tetesi soma tena pale juu na mleta hoja ni mwanachama mwaminifu wa chama cha mapinduzi na hajaeleza source ya tetesi yake na hilo ktk mchango wangu wa kwanza nimeuliza na sijapewa majawabu mpaka sasa.si vizuri kudandia usilolijua mkuu,nakuheshimu sana na ninaamini hapa ni sehemu ya kujadili mambo yetu yaliyoko ktk jamii in 3D.Je Ungependa Rejao aone nini?!Jaribu kukua kifikra.

Najua huwa hamchelewi kutoa matusi na hasa kama wewe ambaye umeshaanza kuelekea hukohuko,jaribu kuvumilia,kwanza huko juu tayari kuna mtu umeshmpa matusi,lakini jaribu kuwa mvumilivu na hasa unapojadiliana jambo na mtu,Mtoa mada ameshakujibu kwamba ni habari kutoka kwa mmoja wa viongozi wa ndani sana wa CDM sasa ni source ipi nyingine unayotaka?,lakini la pili bado kuna mdau mwingine humu ndani ameshakukumbusha juu ya hilo nililolisema lakini bado unang'ang'ania kutaka kuijua Source,jaribu kujifunza zaidi utaelewa.
 
Wewe ni wale wale! Huwezi kuwa na jipya! Unataka tujadili majungu na chuki binafsi+ uchonganishi?

Utazidi kuumbuka huna lolote!

Great thinkers wanaacha kujadili habari wanamjadili Ritz . Haya, time will tell, labda mama huyu asiyekuwa na haya na mumewe wabadili mawazo juu ya Josephine kutaka kugombea ubunge Kawe kwa ticket ya CDM
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni wale wale! Huwezi kuwa na jipya! Unataka tujadili majungu na chuki binafsi+ uchonganishi?

Utazidi kuumbuka huna lolote!

Mkuu huyo jamaa hana maana kabisa.Anachojua ni kuhangaika katiba ipunguze umri wa kugombea ndiyo maana sishangai anakuja kumpiga majungu Dr Slaa kwa thread za kichonganishi na kihuni.
 
Back
Top Bottom