Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Tatizo huyu mchumba wa Slaa ni much know sana!! Ulishawahi kumsikia mke wa Mbowe au wa kiongozi yoyote wa CDM???
Inabidi ajifunze kujiweka chini ili watu wamkweze! Siyo kila kitu anakirukia rukia tu hovyo hovyo!
Kuna mwanamke mwenye kiherehere kama Salma kikwete nchi hii!!
 
Mambo mengine bwana! Kwani kuna ubaya ganh. kama anapanga kugombea? Mbaya kama anamhujumu asifanye kazi zake
 
Mambo mengine bwana! Kwani kuna ubaya gani kama anapanga kugombea? Mbaya kama anamhujumu asifanye kazi zake
 
@le mutuz anamalizia kula ice cream atakuja kudadavua hii hoja ya wazee wa meno ya tembo
Mkuu akiendelea kula Ice cream na ule umri wa miaka 51 alionao atakuwa kibogoyo.Huyu ni mzee hapaswi kula vitu vya baridi!!
 
Naomba nikuulize jambo moja,wewe huwa unajibu mambo mazito ya chama cha mapinduzi hapa jamvini na hata ktk mijadala huwa unatetea chama cha mapinduzi je wewe ni nani ktk chama chako?!
Mkuu, mimi natumia ID ambayo siyo my real name. Hamna anayefahamu mimi ni nani. Nikijibu hoja hapa huwezi kujua najibu kama nani! Huyu mama anatumia jina lake halisi, na huwa analeta hata hata mambo ya ndani kwake.
So huwezi fananisha situation yake na yangu kwenye kujibu hoja hapa JF
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

Hii siyo dhambi kwa sababu anatimiza haki yake kikatiba.

Kukata uzi, nafikiri kwa vile ni member humu jf. Basi atakuja kutoa neno lake. kama atachagua kuwa kimya maana yake, anakubaliana na uzi huu.

Vilevile huu ni mtego wa kisiasa kwa vile akikubaliana nao atakuwa ''anakichafua" chama kama Mh. Zitto Kabwe kwa kutangaza nia ya kugombea kabla ya wakati "muafaka".

Ama kweli siasa ni kama salakasi.

Hizi pumba aina za mashudu ni mwerevu gani atakayeamini? Hizi akili za green guards na CCM kata msituletee humu.
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

mrsslaaa.jpg

Kumbe ni tetesi?
 
Mkuu, mimi natumia ID ambayo siyo my real name. Hamna anayefahamu mimi ni nani. Nikijibu hoja hapa huwezi kujua najibu kama nani! Huyu mama anatumia jina lake halisi, na huwa analeta hata hata mambo ya ndani kwake.
So huwezi fananisha situation yake na yangu kwenye kujibu hoja hapa JF

inabidi umuite na yule mwenye diploma ya meli aje humu kushusha pumba za green guards humu.
 
Mkuu, mimi natumia ID ambayo siyo my real name. Hamna anayefahamu mimi ni nani. Nikijibu hoja hapa huwezi kujua najibu kama nani! Huyu mama anatumia jina lake halisi, na huwa analeta hata hata mambo ya ndani kwake.
So huwezi fananisha situation yake na yangu kwenye kujibu hoja hapa JF
Naweza kubaliana nawe kwa upande mmoja lakini jukumu la kutetea chama ni la kila mwanachama wala si la viongozi pekee.Lakini kama yeye anatimiza wajibu wake kwa chama na hajawahi kutoa kauli ambayo ipo nje ya msimamo wa chama chake na hata viongozi wa chama chake wewe inakuuma nini?!
 
Hakuna mwenye akili hata mmoja wa kuumiza kichwa kutokana na pumba za hawa green guards.
 
RITZ Mkuu wangu,
naomba mwisho wa habari hii uandike chanzo cha habari husika

CHANZO:GAZETI LA HOJA
LA TAR.30/11/2012
PEJI YA KWANZA NA YAPILI
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Ulifikaje huko bwana Ritz?
 
Last edited by a moderator:
Naweza kubaliana nawe kwa upande mmoja lakini jukumu la kutetea chama ni la kila mwanachama wala si la viongozi pekee.Lakini kama yeye anatimiza wajibu wake kwa chama na hajawahi kutoa kauli ambayo ipo nje ya msimamo wa chama chake na hata viongozi wa chama chake wewe inakuuma nini?!
Kumbuka kila kitu kina mipaka yake. Kuna mambo ambayo anaweza kuyaongelea na mengine hawezi. Kuna wakati mwingine huwa anatoa majibu kwa mambo ambayo hakupaswa na mengine huwa anapotosha kabisa. Kumbuka watu wanaimani kuwa, anachoongea yeye ndio msimamo wa Slaa!
 
RITZ Mkuu wangu,
naomba mwisho wa habari hii uandike chanzo cha habari husika

CHANZO:GAZETI LA HOJA
LA TAR.30/11/2012
PEJI YA KWANZA NA YAPILI

Kibaraka wa Magamba wewe.Hilo gazeti ni adui mkubwa wa CDM na kila wiki linatoa habari za uongo dhidi ya CDM
 
Hebu jaribu kufafanua u much know wake ili na sisi tujue!

Tatizo huyu mchumba wa Slaa ni much know sana!! Ulishawahi kumsikia mke wa Mbowe au wa kiongozi yoyote wa CDM???
Inabidi ajifunze kujiweka chini ili watu wamkweze! Siyo kila kitu anakirukia rukia tu hovyo hovyo!
 
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

mrsslaaa.jpg

Mungu akulaani kwa uongo wako.
 
Back
Top Bottom