John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 545
- 608
Hovyo sana ni bora alipoondoka ,chama kinabaki na watu makini siyo hawa malaya wa kisiasa.
Mkuu nakatangazo umetupia mumo kwa mumo.SIJAMUELEWA SELASINI, hivi anataka tuwachukua waliokimbia kuunga mkono kisa heti ni vijana walikuwa wanatafuta maisha. Hivi kumbe hata yeye NCCR MAGEUZI kafata maisha siyo masilai ya taifa na chama. Wanasiasa Malaya mwl Nyerere aliwakataaView attachment 1529916View attachment 1529917
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Waliingizwa kingi hawakujua yule mzee ni msanii lengo lilikuwa kuwaharibia potepote.Kabisa hatakaa asahau milele huyu dogo aisee ndio basi tena... bila aibu jana kaanza kumshambulia Lisu eti hakuna kura za huruma. Na bado mpk atatembelea lapa awaulize wenzake
Hata wapewe 800 nje ya kuajiriwa huwa hawawezi ishi,zitakwisha tuWajiajiri si wametukamua 250mil za kiinua mgongo tatizo liko wapi?
Mbona wao wanaimbaga kila siku et sis tujiajiriTena wakatutukana
Wajiajiri si wametukamua 250mil za kiinua mgongo tatizo liko wapi?
Wasubiri teuzi
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.
Selasini ametoa kauli hiyo hii leo Agosti 7, 2020, Jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi na kuongeza kuwa vijana hao wanapashwa kuwapokea na kisha kuwalea na kuwarekebisha kwenye makosa yao na kuwapa nafasi za uongozi.
"Naviomba vyama vyote, chama changu cha NCCR-Mageuzi, CCM, CHADEMA tusiwatupe vijana, hata vijana ambao walihama kutoka CHADEMA kwenda CCM wakaenda kushindwa kwenye kura za maoni, tunajua vijana wanavyotangatanga hata katika kutafuta uchumba, wanatafuta fursa fungueni milango hao vijana warudi waweze, kufanya kazi ya Watanzania" amesema Selasini.
CC: Lijualikali.
Kwahiyo ni rasmi sasa siasa ndio kila kitu..tulikosea sana tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma ..
Badala washauriwe kutumikia fani zao kuna mtu anawaombea wasitupwe